Hii ndio starehe ya kwanza duniani

asa nawashangaa hawA watu wanaosema sujui nini itakûwa hawajui maana ya starehe kukata gogo ni noma
Kukata gogo ndio moja ya afya njema pia,.unataka kuniambia kukojoa(mkojo Mdogo)sio starehe/raha???vyote hivyo vinavyo mfanya binadamu ku-relax kiakili kimwili na hata kiroho hiyo ndiyo AFYA NJEMA yenyewe.
 
Aliyekwishasumbuliwa na afya yake tu ndiye atakuelewa ila wenye afya njema constant wanaona kawaida tu. Kwao hakuna jipya hapa!!
kitu ukiwa nacho huona cha nini lkn kikutoke hata nusu yake! utaujua umuhimu wake na kuimarisha ulinzi ili kisiharibike.. watu tupo wa kariba tofauti tofauti,hivyo sitegemei kila mmoja kunielewa vilivyo.
 
Mimi sijaona raha ingine kizidi papuchi hapa duniani
Huenda ukapata wkt mgumu sana kunielewa lkn sidhani kama unastahiri hivyo..
jinsi mwili unavyorelax,jisikia tulivu,usiokuwa na maumivu huo ndo msingi wa starehe, kumbuka hata jino tu linaweza kukukosesha raha.. kama hujawahi kuvuta hewa nzuri yenye kupendeza,huku ukijionea mandhari nzuri zenye kuvutia hlf ukiwa na utulivu wa akili na mwili ktk nyanja zote ha ha ha! hautanielewa kamwe nikisema starehe ya kwanza ni afya njema nje ya hapo haya niyaandikayo utaona ni mikwala mbuzi tu.
 
Wale wajinga sana, wanamtegemea neymar afanye maajabu kumbe hakuna kitu.

Ile penalty walionyimwa ingebadilisha game. Ila Jana hazard alimfunika Neymar vibaya mno. Chengine Brazil walitakiwa kumimina mapande kibao wao Kila muda wanataka combination play na dakika Kumi za mwisho Ile upande wa costa wangempandisha yule believe wao watengeneze overload wangepata goli
 
Acheni kuaribu uzi wa watu sio ustaarabu.
 
nakukosoa mkuu... usiseme ya kwanza sababu hauna utafiti wowote.!!!
 
starEHE isio na garama na kila mwanadamu ladhima aifanye ni kunya peke yake uwe mgonjwa uwe mzima lazima unye
 
Kweli afya nzuri ni starehe ya mwili ila huo mwili utahitaji kitu fulani ili akili isichoke . Labda kwa lugha ingine " pleasure" unaweza ukawa na pesa zote hapa duniani lakini ukikosa hiyo raha bado hujakamilika , ni raha ipi ? Afya inapaliliwa na hiyo raha . Sio siri mimi binafsi nikipata sex ya halali najisikia nipo mbinguni , nakuwa mwepesi na kazi inaenda sawa na mawazo yote nayazika kwenye kaburi la kina kirefu
 
Kuliko niishiwe pesa bora niishiwe damu maana kama ni damu nitaongezewa
 
Kukata gogo ndio moja ya afya njema pia,.unataka kuniambia kukojoa(mkojo Mdogo)sio starehe/raha???vyote hivyo vinavyo mfanya binadamu ku-relax kiakili kimwili na hata kiroho hiyo ndiyo AFYA NJEMA yenyewe.
Mkojo mdogo ni upi? Tuanzie hapa kwanza
 
 

Attachments

starEHE isio na garama na kila mwanadamu ladhima aifanye ni kunya peke yake uwe mgonjwa uwe mzima lazima unye
Kunya imekuwa starehe toka lini? It's more of a relief than starehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…