Hii ndio siri ya utajiri wa baba yangu

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,332
4,857
Leo naenda kutoboa siri moja kali sana, kwanza nianze kwa kusema baba yangu, ana gari aina za scania 60 ghorofa 8 dar, masaki, ana wanawake 52 ana watoto 100 ana ng'ombe elfu 70 hoteli 30 bar 30 nyumba za kupangisha 85 mashamba heka elfu 30 na vingine vingi historia fupi ya baba yangu,

Baba alizaliwa 1956 alisoma shule ya msing akamaliza akapiga form one akaja kufeli form four babu yetu akampeleka ualimu akafundisha ndan ya miaka mitatu akakubwa na skendo ya ujazaji mimba mwanafunzi akafungwa, miaka miwili alivyotoka jera na kibarua kikaota nyasi, akawa anahangaika kufanya kazi za mtaani kama kufyatua tofari,

Kuchoma mkaa mwisho akawa mwizi akawaibia sana watu ilifikia wakati baba yangu akiwa na wenzake walikuwa wanaenda kuiba sehem roli zima la bidhaa na kuuza, kipindi hiko, majiran ndugu hawajui lolote wanakuta tu mwamba maisha yake yameanza badilika, polepole gafla wakampa udiwani,

Kutokana na yey kuwa na kipato kijijin hapo hajakaa sawa akapiga pesa ya mradi m500 pekee yake
 
1000123460.jpg
 
inaendelea......bas mzee baada ya kufisadi m500 hajakaa sawa tokana na hela kupotea akajiudhuru, ila hawakumgundua tokana na tabia yake ya kufanya mambo peke yake bila kumshilikisha mtu, zaid ya wahusika na alikuwa mchamungu kweri kweri, mpaka kufikia 1990 mzee alikuwa na ukwasi usiopungua bilion 2 ilivyofika 1992 nikazaliwa mwamba hapa nilivyofika miaka 20 akanisimulia hiyi story nikasema kumbe nakula vitu vya wizi nikajitenga nae mzee hakuwa na neno akasema maisha mema ila ukitaka kuja kabla sijakusamehe nikumalizie kwanza story ndipo nikusamehe nikasema potelea mbal nitoka hom na kuanza kuhaso, nikaanza kuendesha boda, mpaka leo ni boda boda nina kanyumba kapaa moja na shamba heka moja, story yetu imeishia hapo kwa mzee sijarudi nimepanga juma tano nirudi kwa baba akanimalizie story ili nije niwamalizie...... muwe na siku njema
 
Wewe ni mwehu nini
 
Back
Top Bottom