Hii ndio simu ghali zaidi duniani

Majitu mnabisha wakati mna bando chukua hlo jina google uone kelele huna evidence ni ujinga.
 
ila mkuu dola milioni 95 ni around bilioni 200 haifiki trilioni.

pia kuhusu hio simu ni iphone na madini tu hayo madini ndio yanayoifanya iwe ghali na hakuna special technology
Na kupata mkuu lakn raia wabishi mpaka kuwatoa roho,diamonds tupu hii.
 
Sawa mkuu nimekupa ta lakin bado ndio simu ghali zaidi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…