Pole mkuu lengo ni zuri but ujue hapa jamvini ni kama live radio or tv b'ze kikitokea kitu saa hiyo hiyo kinaletwa jamvini. So hii ishaletwa zamani nadhani dakika kama kumi hivi baada ya press release kutoka tr 10/11/2010. Hata hivyo asante kwa kutujuza but jitahidi mara kwa mara kutembelea hapa jamvini ili upate HOT HEADLINES!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.