Hii ndio serikali ya Rais wetu Kikwete

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Jamani Tanzania naona rushwa imetapakaa sana,,,,,,,PCCB na huyo chenge wao naona wote vimeo tu..Hii inchi sijui inaenda wapi maskini...Lakini tutafika tu...

N.B kama kitu kama hii ilishapostiwa humu ndani then mods iondoeni hii post!!
 
Pole mkuu lengo ni zuri but ujue hapa jamvini ni kama live radio or tv b'ze kikitokea kitu saa hiyo hiyo kinaletwa jamvini. So hii ishaletwa zamani nadhani dakika kama kumi hivi baada ya press release kutoka tr 10/11/2010. Hata hivyo asante kwa kutujuza but jitahidi mara kwa mara kutembelea hapa jamvini ili upate HOT HEADLINES!
 
Back
Top Bottom