Kigoma kabisa hii nyumbani.
Hapo omba mvua isinyeshe,
Mvua ikinyesha njia haifai tena kutumika kama njia ya usafiri, sana sana mvua ikinyesha watoto wanaigeuza hiyo njia sehem ya kusererekea.
Hapo hata gari hakuna huko, na kama ipo ni ile inatoka alfajiri inarudi jioni au kesho asubuhi maana mto umejaa na daraja halipitiki.