THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,042
- 4,645
Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?
Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?
View attachment 1370723
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm ndio perfume yangu tangu niko Advance miaka ya 2004.View attachment 1377595
Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu 20 maduka mengine 25Kaka mambo, inauzwa bei gani hii.
Epic adventure mkuu au?!,jee hii product hamna fake madukani mkuu?umemalizana na hiyo nikiyotaja hapo ulipo ninukuu?
... tatizo lako sio perfume bali uliunganisha na personality!Mbaya. Ex girlfriend wa Baba Debo alimletea mume wangu zawadi kwenye birthday party yake mwaka jana. Sikuipenda kabisa. Alipuliza siku moja tu nikaitupa kwa dustbin.
... kuna moja inaitwa "YOU" more precisely "Stronger with YOU" ni bonge la perfume. Kuna duka moja Samora mwaka jana ilikuwa inauzwa 270k.Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh?
Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je?
View attachment 1370723
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu ufeki hilo sijuiEpic adventure mkuu au?!,jee hii product hamna fake madukani mkuu?
kwa hiyo za 5000-10000/= sio nzuriInauzwaje, kama ni chin ya elf20,..bas itakua si nzur
Msaada mkuu,napataje minMy dear siku izi unaweza pata min pafyum , kwa kiasi kidogo lakini kwa brand unayotaka, mfano Creed, Tom Ford, isemiyake etc
Mhh ni perfume ama body spray hio?.