Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,170
- 45,889
jamaa ameniongezea hasira ya maisha, perfume ya laki 4 !!! dadeq siku moja nitakuwa na pesa niishi hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa ameniongezea hasira ya maisha, perfume ya laki 4 !!! dadeq siku moja nitakuwa na pesa niishi hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
We mkaka nimekuelewa, naomba uninunulie na mie ya gharama, ninukie mweeeh! Maana umenitamanisha buree kunitia dhambi.very common, ila kila mtu na taste yake, mi perfume nzuri ni Bleu de Chanel (430,000) na Hugo Boss the scrnt (200,000), nikiwa nimefulia nanunua zangu creed za kupima pale mlimani Albaity perfume
Sent using Jamii Forums mobile app
My dear siku izi unaweza pata min pafyum , kwa kiasi kidogo lakini kwa brand unayotaka, mfano Creed, Tom Ford, isemiyake etc
Mkuu Creed naikubali Sana,ila jaribu na Tom Ford hutajuta,ikibidi changanya zote ni balaayah kwa kweli kuna jamaa akija ofisini kwangu anasema anasikia harufu toka nje anajua nipo
Hi nayo Ni konkii, balaa
My dear siku izi unaweza pata min pafyum , kwa kiasi kidogo lakini kwa brand unayotaka, mfano Creed, Tom Ford, isemiyake etc
naam hiyo ndo bleu de chanel, mi nanunuaga 430k, tafuta moja inaitwa Tuxedo ni 250 usd, harufu yake ukipita kila sehemu lazma mtu ageuke
Sent using Jamii Forums mobile app
We mkaka nimekuelewa, naomba uninunulie na mie ya gharama, ninukie mweeeh! Maana umenitamanisha buree kunitia dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app