Hii ndio operation red wing 28.05.2005

Hii ndio operation red wing 28.05.2005

ila ile ya movie ya Libya( 13 hours secret soldier in benghazi) ni hatari zaidi maana jamaa wamekesha mzigon wakipigw na ma -RPG
 
hawajatuzidi Sana hao mabeberu. Huku pia kulikuwa na operation FINAL BATTLE FOR TOTAL DISCIPLINE kwa ajili ya Zitto Kabwe. Sijui naye ni gaidi???
 
Huku tanzania tuna operation mererani..operation sangara..operation magufuli
 
America na jeshi au kikundi kisicho na sare rasmi anapigwa Sana tu rejea Vita ya Vietnamu na Hawa Watu wamashariki ya Kati!! Sasa waje na jeshi la kueleweka tuone mkuu!!
Eti the powerfull army duniani,wanaenda pigana na wanamgambo wakimsaka kiumbe mmoja,maisha ya watu yanapotea na bado wanamkosa,wajipime sana kimahesabu
 
Back
Top Bottom