Hii ndio Mogadishu -Somalia

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,542
7,450
Huu ni moja ya mji mzuri kabisa katika ukanda wa afrika mashariki, mji uliopembezoni mwa bahari ya hindi kama ilivyo miji ya Mombasa, Dar ES salaam, Tanga na mingine

Ukitazama picha za mji wa Mogadishu utagundua kuwa kama isingekuwa vita ya wao kwa wao, basi Mogadishu ingekuwa mbali sana kimaendeleo,
Tusisahau hawa ndugu zetu wasomali Kwanza ni watu wa kazi sana,sio wavivu wachapakazi sana, ni watu wa kujituma sana na hawakati tamaa kirahisi,
Sifa zao hizo wangezitumia kujenga nchi yao basi naamini Somalia ingekuwa juu ya Rwanda leo kwa maendeleo,






 
Mkuu sio kwamba mji wote umekwisha, kuna mitaa imetulia zaidi na mji umejengeka zaidi, kama sasa kuna ujenzi mkubwa wa mahoteli na apartment nyingi za kisasa ndani ya Mogadishu
Aisee ..bc ..powa ..sijawahi kuwaza kuwa somalia ina mji mzr na wenye mandhari nzr kiasi hicho ...akina horia eee ..wamaheee
 
Sasa hiv Wasomal wanaoomba hifadh ya ukimbiz ulaya hawapewi. Their asylum application are rejected. Kwasabab Somalia Sasa hiv ni salama ingawa siyo tuliv hasa kusin. Maafisa wa uhamiaj kutoka nch tofaut ulaya walitembelea Somalia kufanya utafit na kushangazwa kuwaona watu wanakula bata beach wakichoma mishikak tafuna mirung na kunywa chai na kahawa.

Wasomal ulaya wamejiruhus kuiba ama kuwaibia yeyote sio muislam hata kuiibia serekal na kudaganya bora tu isiwe ya kiislam and they justify this. Ndio maana weng wao wanajiusisha kwenye uhalif. Ila viongoz wa din maimam wanapinga hil nakuwaonya Islam respect everyone. Hawapend kufanya kaz waviv hata. Ni hatar tu wakishika silaha kama vit vyenye ncha kal. Halaf ni legelege sana hata boksi hawabeb wakijibamiza ukutan ama uwagonge kichwan kidogo lazima waanguke na kupoteza faham. Wakiwa ulaya wanajiita waarab they claim geographical they are in Africa but not Africans. Eti nayo yanatubagua!

SILLY WEAK LAZY NOMADS!
 
Aisee ..bc ..powa ..sijawahi kuwaza kuwa somalia ina mji mzr na wenye mandhari nzr kiasi hicho ...akina horia eee ..wamaheee








Hiyo ni baadhi ya miradi mikubwa inayoendelea Somalia kwa ufadhili wa serikali ya Uturuki, pamoja na vita yao kwa zaidi ya miaka 25 huwezi kuamini Shilingi yao ina nguvu kuzidi yetu wazee wa amani
 
Mkuu sio kwamba mji wote umekwisha, kuna mitaa imetulia zaidi na mji umejengeka zaidi, kama sasa kuna ujenzi mkubwa wa mahoteli na apartment nyingi za kisasa ndani ya Mogadishu
sana sana punt land ama somalilend kuna utuliv
 
Wasomali wameshajua jinsi ya kuingiza kipato kwenye nchi yao. Mwaka 2012 waliongoza kwa transactions za kutuma hela kwenda somalia kutoka nje ya nchi duniani.

Lakini pia ndugu zao somalia wamegundua the cheapest way to make a living is creating conflict in there own country and giving their fellow country men an opportunity to gain asylum and benefit from hand outs.
 
 
kitu kimoja tu nawapenda wasomali ni umoja wao na mila. Popote walipo dunian kutoka Australia ulaya north America hawaach kuongea lugha yao na kufuata mila zao they are strictly on this. Ningependa sana wabongo kiswahil kituunganishe popote tulipo dunian. Bas tu haiwezekan kutokea had tuache kurogana
 
Kama jamaa wangekuwa hawana vita hii miaka 26 nakuhakikishia wangeongoza kwa east afrika kwa maendeleo kwa sasa, maana wao kwa umoja utawapenda
 
Karibuni somali airline unaanza kazi.
Sisi tutaachwa nyuma na kila mtu...uganda tuliichakaza kivita leo hiooo..rwanda nayo pia...tunakosa vitu viwili siasa safi ma uongozi makini wenye ubunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…