Hii ndio maana ya ndugu lawama

Hii ndio maana ya ndugu lawama

Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole.

Utasikia asiefanya kazi na asile. Au, wewe una mikono miwili na miguu miwili na macho mawili unaomba walemavu wafanyaje. Hapo umeomba haujamfosi. Na bado ataenda kukupiga majungu kwa ndugu wengine na pamoja watakuchukulia poa sana mixer dharau za wazi wazi. Utatumwa hadi mafuta ya kupikia dukani ili mradi wakuonyeshe wewe hauna maana sasa kwenye familia.

Unakubaliana na hali maana kama Yesu mwana wa MUNGU aliteswa na wanadamu sembuse mimi. Unapiga moyo konde unasema ngoja ufosi kupambana na mitaa na walimwengu kuliko kupambana na ndugu ambao wamekuonyesha kuwa kumbe si muda wote damu ni nzito kuliko maji.

Unaenda kwa wanao mtaani unawapa ya moyoni na kutubu sana. Wana wanaingia na huruma wanakushika mkono na hizo hizo buku buku za mawazo mixer kuingia madeni kwa niaba yako.

Unajikaza unaweka mitego sawa, uhakika wa elfu 10,30,50 80 na hata laki kwa wiki na mwezi unakuwepo. Unalipa madeni unajiimarisha kiuchumi. Muda wa shukrani nawatafuta wanangu maana siwezi watupa maana ndio walinishika mkono gizani. Tunakula kitimoto pamoja na hata kusaidiana shida ndogo ndogo bila husuda.

Ndugu wanaona post, simu zao zinapigwa wanasema unajiweka mbali na familia siku hizi. Umepata mafanikio unakula na marafiki siku ukianguka hao hawatakubeba wala kukuuguza ni sisi ndugu zako wa damu.

Hapo ndipo unajua si muda wote damu ni nzito kuliko maji. Unaamua kupiga kimya tu sms za kikuda kama hizo haujibu unaamua kuwa outcast maana sometimes familia ndizo chanzo cha watu kukosa uelekeo badala kuwa chanzo cha uelekeo.

Haya maisha haya.
Sure
 
Ndugu ndivyo walivyo,Bora mie najijua tayari Sina ndugu nipo kwenye Dunian yangu na ndugu yangu pekee ni Yesu tu
 
Kipindi hicho unalianza life la kukaa mwenyewe chumba kimoja. Umechacha mfukoni unampigia simu bi mkubwa akutupie hata 50K uweke mambo sawa maana uchumi umekaa tenge, unashangaa sijui walijuaje kuwa ulimuomba bi mkubwa mzigo wanakusagia kunguni kuwa wewe hela unapata unahonga videmu ila shida unamletea bi mkubwa yeye anatoa wapi pesa?

Wewe mwanaume pambana na Maisha yako. Dah kummke unajiuliza huyu msnge si ni ndugu yangu, yaani anajua mimi nateseka badala ya kuwa wakili wangu ndio kwanza anakuwa mpinzani wangu ananisagia kunguni maisha yanikaange vizuri.

Unaongea nao unamuuliza kwann anakuwekea kauzibe hivyo kwan ulimuomba yeye anakujibu kuwa anakusaidia ujifunze kutegemea ukomae usipende kukimbilia kuomba msaada pale unapokwama unapiga simu home badala ya kupambana utafute. Unasema haina noma.

Hapo sio kwamba bi mkubwa kachacha, hapana, na wala hashindwi kukusapoti hiyo 50K ila ni ile shida watu wenye akili za kishamba kuwa kila anachopewa fulani na mimi natakiwa kupewa pia sote ni watoto wa familia bila kujali muda huo pengine una dharula yeye analeta upuuzi wake.

Unamvutia "mwanangu wa damu" simu au kumtext kwa adabu anarespond, na fasta anakurushia muamala wa 60K yaani usipate shida hata ile ya kutolea iwepo.

Yaani unashukuru MUNGU unamuuliza "MUNGU unataka nambia ujumbe gani hapa? Iweje rafiki ajali shida zangu na kulia na mimi halafu ndugu awe snitch kwangu na kuniwekea kauzibe, kwann ulisema asimpenda ndugu yake hawezi kunipenda mimi" why huu mtihani unanipa na siwezi.

Aiseee. Ukipata siblings wanakupenda na wanakulinda wapende kuliko chochote ila ukizaliwa na mafreemason uzao m'moja kwa wazazi unaweza tamani kwenda Rita ukafute ubini yasiwe familia moja na wewe.
Hivi nyote vijana wa JF hamna Baba zenu
 
Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole.

Utasikia asiefanya kazi na asile. Au, wewe una mikono miwili na miguu miwili na macho mawili unaomba walemavu wafanyaje. Hapo umeomba haujamfosi. Na bado ataenda kukupiga majungu kwa ndugu wengine na pamoja watakuchukulia poa sana mixer dharau za wazi wazi. Utatumwa hadi mafuta ya kupikia dukani ili mradi wakuonyeshe wewe hauna maana sasa kwenye familia.

Unakubaliana na hali maana kama Yesu mwana wa MUNGU aliteswa na wanadamu sembuse mimi. Unapiga moyo konde unasema ngoja ufosi kupambana na mitaa na walimwengu kuliko kupambana na ndugu ambao wamekuonyesha kuwa kumbe si muda wote damu ni nzito kuliko maji.

Unaenda kwa wanao mtaani unawapa ya moyoni na kutubu sana. Wana wanaingia na huruma wanakushika mkono na hizo hizo buku buku za mawazo mixer kuingia madeni kwa niaba yako.

Unajikaza unaweka mitego sawa, uhakika wa elfu 10,30,50 80 na hata laki kwa wiki na mwezi unakuwepo. Unalipa madeni unajiimarisha kiuchumi. Muda wa shukrani nawatafuta wanangu maana siwezi watupa maana ndio walinishika mkono gizani. Tunakula kitimoto pamoja na hata kusaidiana shida ndogo ndogo bila husuda.

Ndugu wanaona post, simu zao zinapigwa wanasema unajiweka mbali na familia siku hizi. Umepata mafanikio unakula na marafiki siku ukianguka hao hawatakubeba wala kukuuguza ni sisi ndugu zako wa damu.

Hapo ndipo unajua si muda wote damu ni nzito kuliko maji. Unaamua kupiga kimya tu sms za kikuda kama hizo haujibu unaamua kuwa outcast maana sometimes familia ndizo chanzo cha watu kukosa uelekeo badala kuwa chanzo cha uelekeo.

Haya maisha haya.
Ndugu wa maana ni baba na mamayo tu.
Hata dada/kaka yako sio ndugu wakutegemea.
Narudia ndugu wa maana ni baba na mama tu.
Ila kusema ukweli dunia ya sasa marafiki wako too humble kuliko ndugu huwa najiuliza kwa nini iko hivi!?
 
True mzee. Familia za upendo na amani ni chache sana aisee. Kuna familia hiyo hawana kitu mzee wao akafariki, akabakia bi mkubwa na vijana wake na mabinti. Mzee alikuwa na shamba mbili na kiwanja pale kinyerezi.

Mtoto mkubwa wa kiume wakakubaliana na mama yake wauze shamba moja kwa milioni 37 then wafanye maendeleo.

Bi mkubwa alikuwa anaumwa kansa na ilishamfika hatua mbaya akaona akakae huko kijijini kwao Tanga kwa ndugu zake. So kijana akawa amebakia kama kiongozi wa familia na pesa zote mikononi mwake. Lakini kutokana na upendo na utulivu walionao sijawahi kuona wakikorofishana na ni kama wamekubaliana kuwa huyo kaka yao asimamie show zote yeye. Hizo pesa atajua atafanya nini hawajaleta makelele.

Sasa nikawaza itokee kwenye aina hii ya familia kwanza hawatakubali hizo pesa zikae kwa yoyote wasema hebu hizi akae nazo mama. Na hapo sasa ni majungu na uchawa kwa bi mkubwa ili mwenye sumu kali dhidi ya wenzake ndie atatengeneza mazingira yeye ndie azipate.

Sasa ukitazama ni zile tabia za ubinafsi na uchoyo plus roho ya kwann ndizo hufanya baadhi ya familia zisiwe na maendeleo hata kama wazazi walipambana na kuwajenga watoto wao.

Unaweza kuta wamesomeshwa na hata kuendelezwa kibiashara na wana uwezo ila sasa kukaa chini na kusema sasa tuunde umoja wa kifamilia ili tupige hatua hapo sasa ndipo utashuhudia matabia ya kibinafsi yanaonekana.

Unakuta mtu mzima ila analeta ligi za kitoto kwenye familia. Ukisema ngoja nibadilishe furniture za home nimnunulie bi mkubwa electronics mpya na kadhalika. Mtu anaumia kabisa yaani na ni mama yenu wote, utaona anaumia yaani si kitu cha kuficha anaumia. Sasa unakuwa unajiuliza huyu ni mzima kiakili kweli? [emoji848]

Ukinunua vitu vya ndani ukaleta home ukatafuta na beki tatu ukamuweka, na kumpa maelekezo ya bajeti ili uweke mambo sawa unakuta ndugu yako wa kike mara na yeye katoka wapi huko sijui na yeye kaleta chakula wakati kile cha home ni cha kutosha, okay sio vibaya kaleta mzigo wa ziada wa chakula. Anaanza kumletea vituko dada wa kazi. Dada amepika wali yeye anapika ugali halafu anawaambia watoto wale ugali na watoto wanapenda wali. Yaani anapika chakula wakati kingine kimeshapikwa ili iweje, halafu bi mkubwa hakemei hii kitu.

Dada ananipigia simu ananiambia haya. Napiga simu home nauliza shida nini, bi mkubwa unaona anauma uma maneno tu. Unashindwa kuelewa.
I feel this. Dunia ina maniaje sana hii ni vile haturuhusiwi kumiliki shaba privately...waAfrica tungemalizana sana
 
I feel this. Dunia ina maniaje sana hii ni vile haturuhusiwi kumiliki shaba privately...waAfrica tungemalizana sana
Halafu ndipo tunapokuja kujiuliza wenzetu kama waarabu na wahindi wanaendeleaje.
Mtu akiendelea utaskia wabongo tukisema"aagh we waarabu huwajui?Amefeli akaitwa na hami yake(mjombaake) kasimamia duka akamuachia".
Hivyo ndivyo undugu unatakiwa kuwa.
Undugu kubebana kusiwe na njaa/umasikini katika familia.
Ila sisi wabongo hufanya tofauti.
Na mtu akifanikiwa ni waabudu pesa hatari ila akipururuka mnamkimbia tena.
 
Wafadhilaka wapundaka.....
 
Àaah [emoji38][emoji38], mimi japo sijawahi kugombana na mtu ila huwa siendi home bila sababu na naweza enda mara 1 kwa miaka 2 , nikienda ni usiku mchana sipo.
Nadhani ni principle ya watu wengi kutokaa mitaa au maeneo walipozaliwa inakuwa kama kuchoreka fulani hivi.
 
Wapi nimesema simu ya kuchat chat?

Kwahiyo ulikuwa unashauri nisinunue kiwanja nimpe dogo akanunue simu? Ni msaidie dogo jambo lake langu atanisaidia nani?

Wewe unamawazo ya kilalamishi na asilimia 90% ya watu wa aina yako hawafanikiwi kwenye maisha.

Akili yako inawaza jambo lako tu haiwazi huyo unayemlalamikia ana jambo gani.

Mtu kupata ajira sio issue maana huyo mtu pia anamipango mfano mimi ni na mtoto na mke kila siku najibana nakula maharage nyama mara mojamija ili nifanye jambo langu labda nijenge au nilipe ada ya mwanangu.

Maisha yangu hayajastabilize nianze kuangaika na yako hivi hiyo ipo kweli? Atleast kuna wale watu ambao maisha yao yametengamaa tayari ameshajenga anasomesha hawa kweli wako na nafasi ya kusaidi.
Bado haujanielewa na unazidi kukosea kwa namna unapanga hoja zako. Mimi sijasema kuwa hauna shida wala sijasema kuwa usifanye mambo yako.

Nilichosema ni pale anapokuja ndugu yako na anajambo ambalo kwake ni la dharula na haliwezi kusubiria linahitaji pesa ya haraka sana, hautamsaidia atatue kwasababu unasave ununue kiwanja mwaka kesho kutwa? Kwani kununua kiwanja ni jambo la dharula, si ni mipango ya muda mrefu na endelevu na inaweza kusubiri?

Usiseme mtu mlalamishi elewa hoja kwanza. Utaelewa siku unadharula tena ya muhimu halafu dogo haipi uzito wala nini, utalaani hadi basi ila ndio mkuki ni kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Ndugu atabaki kuwa ndugu tu haijalishi amekutenda vipi. Mwangalie Joseph jinsi alivyofanyiwa fitina na ndugu zake kwenye biblia lakini hakulipa ubaya. Ukiona mtu anakufanyia ubaya wewe samehe maana kuna kitu kikubwa unacho ndiyo maana anakuchukia. Maisha ni mafupi tuishi kwa kuchukuliana na kusamehe ili watu wajifunze kwako siku ukiwa haupo.
Mmmmmmhmn unajua kuna watu kuwalea tabia zao watawaachia hadi watoto. Ni vema kuwanyoosha mapema ili watoto waone wajifunze kuwa maisha hayaendi namna hii.

Mimi upande wangu sipendi kulea magonjwa ya tabia especially kama mtu anafanya kusudi.
 
Ukute hawajasoma afu wamefanikiwa, utadharaulika ww mpk na elimu yako
Eeeen, wakiwa hawana elimu wanakuwa wanakuletea tiff sababu wewe ulitoboa shule wao hawakwenda shule so wanakuwa na inferiority complex.

Ukitaka kutoa hoja wanakusagia kunguni, hata kama ni jambo la kujenga.
 
Uganga umehusika hapo... Na kurogwa usharogwa kitambo tu na nyota walichukua kitambo [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi hiyo kitu ya nyota huwa siiamini kwasababu ninachojua bahati na mazali ya mtu huwa hayahamii kwa mwingine.
 
Back
Top Bottom