Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,752
- 7,245
Sema hivyohivyo... Huwajui binadamu wewe[emoji23][emoji23][emoji23] mimi hiyo kitu ya nyota huwa siiamini kwasababu ninachojua bahati na mazali ya mtu huwa hayahamii kwa mwingine.
Sema hivyohivyo... Huwajui binadamu wewe[emoji23][emoji23][emoji23] mimi hiyo kitu ya nyota huwa siiamini kwasababu ninachojua bahati na mazali ya mtu huwa hayahamii kwa mwingine.
Hii ndiyo huwa naipenda siwezi cheka na kima, unamalizana nae on spot, familia nyingi hasa za kiafrika husda ni mwingi sana mpaka kulogana, kisa kikubwa ni mashindano ya kimafanikio, unajikuta wewe hushindani na mtu lakini utapigwa vita hizi familia za kiafrika choyo sana,Nouma sana Mkuu mwenzetu. Ila njia rahisi ni kuweka msimamo wako wazi, nilijifunza namna ya kudili na mkuda/mnafiki ni kumwambia upfront unafiki wake. Usimlee kabisa mnafiki/mkuda au mtu wa husda pia mtu asiyekuheshimu usimchekee kabisa. Kuwa mkali chapu na umalizane naye mara moja, in a hardest way possible
Wewe unabahati ulipewa boom nahisi ungebwagwa na boom Hauna ungemwelewa mleta madaDuh sijui ndugu wa aina hyo mna watoa wapi.
Mm kwetu ni masikini. Lkn katika safari ya kusoma kwangu. Sina ninacho wadai ndugu zangu. Walinibeba walivo weza wakaja kunitua SUA mwaka wa kwanza.
Siku nilivo kamilisha usajili na kuanza kupewa boom ndo ikawa mwisho wa mbeleko [emoji16] wakasema sasa umekua jibebe. Na kweli ilinisaidia kujitambua nikiwa chuo. Mpaka sasa sijawai lilia mtu shida, na nikikwama nakopa kama mdau yeyote yule.
Hivyo swala la ndugu kuto wasaidia tunalikuza tu. Huenda nao wanapitia hali ngumu kama sisi ila hawajasema