Hii ndio logic ya kumuomba Lucifer: It is very very reasonable

Jamaa alikuwa mwanangu kinoma. Wakati ule Ubungo panazingua foleni miaka ya 2005 nikiwa kwenye foleni asubuhi naelekea Mwenge niliibiwa Motorola yangu smartphone,nikamwambia konda fungua mlango nishuke,abiria walinishangaa sana wakasema wewe unapoteza muda wako na utaenda kupigwa bure huko,nikawajibu kuwa kesho asubuhi tukijaliwa kukutana nitawaonyesha simu yangu.

Basi bwana,nikashuka nikateremka na ile down ya darajani kama unaenda Chibuku,nilikuwa najua maskani yake Midu yapo wapi,nikafika nikamkuta ndio anaamka,nikamwambia bingwa hapa vijana wako wamepiga Motorola yangu muda huu huu,akaniambia unaelekea wapi nikamwambia Mwenge,akaniambia wewe nenda ukirudi pitia pale darajani kwa yule fundi saa utakuta simu yako,kweli baadae nilipomaliza mishe zangu nikapitia pale nikakuta simu yangu kama ilivyo. Kesho yake asubuhi nakutana na yule konda kituoni nikamwambia cheki mtambo huu hapa.
Midu was something else
 
Msaada wa Lucifer kwa wanadamu ni kama chambo kwa samaki, lengo ni kumkamata mwanadamu. Msaada wa kweli kwa mwanadamu unatoka kwa Yesu Kristo.
Yesu Kristo, Bwana wa mabwana, Mungu wa miungu, Mfalme wa wafalme, aishiye milele!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Unamkumbuka Midu Matembo (Hamidu Matembo)?

Miaka ya 2000 katikati hadi 2013 /14 mitaa ya Ubungo pale kulikuwa na jamaa mbabe mmoja wa kuitwa Hamidu "Matembo"

Hamidu alikuwa ndio defacto kiongozi wa kundi la Matembo wa ubungo yote hiyo kagera hadi Kimara.

Sifa kubwa ya Hamidu ni alikuwa anapiga sana ngumi. Yani ni wale majamaa enzi za primary miaka ya 90 tulikuwaga tunasema " anapiga shule nzima".

Mtu pekee alie kuwa anaweza walau kusimamia na Midu Matembo ni jamaa wa kuitwa Iddi Bonge. Ila Iddi Bonge hakuwaga na ishu kama za Hamidu Matembo.

Vibaka wa ubungo, kimara kushuka chini hadi Kagera walikuwa wanamuheshimu na kumuogopa sana Midu Matembo.

Hamidu Matembo was frontin like kiongozi wa askari jamii/ ulinzi shirikisha but deep down alikuwa ndio kiongozi wa vibaka na waizi wote ubungo stendi.

Midu Matembo alikuwa ni kama vile defacto President wa vibaka wote kutoka Kagera, Manzese, hadi Kimara, walio kuwa wana piga mishe zao mitaa ya stendi ya Ubungo. Wote walikuwa wana ripoti kwa Midu Matembo.

Ukikwapua simu huko ukienda kuiuza lazima upeleke ganji kwa Midu.

Ishu zote chafu zilizokuwa zinafanyika mitaa ya Ubungo stand Hamidu alikuwa anazijua.

Sasa basi ilikuwa kama umeibiwa kitu chako cha thamani lets say laptop yenye documents zako muhimu au simu yenye namba zako muhimu na unataka uipate kwa haraka basi usijaribu kwenda sijui polisi waje wakusaidie kuwapata hao vibaka urejeshewe mali zako au usijaribu kufight wewe mwenyewe kwa sababu ukweli ni kwamba huwezi kuvipata.

UFANYAJE ILI UVIPATE?

Wewe nenda kwa Hamidu muombe akusaidie kupata vitu vyako. Kama Hamidu atakubaliana na ombi lako/ kama mtakubaliana kuhusu terms and conditions basi Hamidu atakwambia njoo baada ya lisaa limoja.

Hamidu anawajua vibaka wote wa ubungo na vibaka hao wana muogopa
,wana muheshimu na kumtii. So atakacho kifanya ni kuwaitavibaka hao na kuwaambia alie pora kitu fulani aki salimishe kwake mara moja. Then Hamidu atamrudishia ndugu muibiwaji mali zake
( Akina Hamidu Matembo wapo wengi sana nchi hii almost karibu kila mtaa)

Vivyo hivyo kwa Lucifer. Kwa mujibu wa mafundisho ya dini zote kuu mbili hapa Tz.

Lucifer ndio mkuu wa majini wachafu / malaika wachafu ( mapepo)

Na hao majini na malaika wachafu ndio chanzo cha matatizo ya wanadamu.

Kwa mfano kwa habari ya magonjwa ya kichawi majini wachafu na malaika wachafu ndio wana aminika kuwasababishia watu magonjwa ya kichawi.

Ukienda kwa mganga ambae ana connection na Lucifer ili utibiwe Maradhi yako ya kichawi ni lazima huyo jini aondoshwe kwanza na ili huyo jini aondoshwe atakacho kifanya huyo mganga ni kumuomba Lucifer aje awafukuze hao majini wachafu wanao msababishia maradhi mtu huyo.

Lucifer akitoa amri basi ni ndani ya sekunde chache tu hao majini wanaondoka wana muacha mgonjwa na mgonjwa anabaki salama akiwa na afya njema na majini hao hawatorudi tena kwa mtu huyo.

Wakati nafanya research yangu kuhusu uchawi na uganga nili watembelea waganga wengi wazito wazito na nilicho gundua ni kwamba hicho ndicho kinacho fanyika kwenye madhabahu zao.

Ukienda kwa mganga hasa hasa anae jihusisha na uchawi basi jua kuwa unaenda kwa wakala wa Lucifer na ukiona.mganga kamfukuza jini mchafu kwenye mwili wa mtu basi jua ni Lucifer ndio kahusika moja kwa moja. Hii ina wahusu zaidi walio tupiwa maradhi ya kichawi.

Kwanini Lucifer ambae anatajwa kuwa na uadui mkubwa na watu wa Mungu akuponye wewe mwanadamu maradhi yako?.kwa.sababu anataka umuabudu yeye kama vile vile.ambavyo.Mungu anataka.umuabudu yeye.. Lucifer anataka kupata kile.ambacho Mungu anakipata kwa kuabudiwa na watu. Kuna waganga wengi sana ambao wanatibu na kuponyesha kabisa maradhi ya kichawi lakini wengi wao wanatibu maradhi hayo kwa njia hii niliyo ielezea hapo juu. Kazi kwako ndugu unapoenda kwa mganga kutibu uchawi jua unaenda kujisalimisha kwa Kiongozi mkuu wa.majini ili awape amri wakuachie kisha yeye Lucifer ndio awe Mungu kwako.

Ukienda kanisani au msikitini ( polisi) utakuwa ni sawa na mtu alie enda kesi ya kuibiwa simu.polisi. unaweza.ukaipata.simu yako au usi upate na hata kama utaipata basi itakuchukua muda mrefu sana mpaka itakosa maana.. Unless otherwise ukutane na.polisi ( mchungaji/ shekhe).mwenye connection na mkuu wa vibaka ( Lucifer) ambae ataenda kuongea na mkuu huyo simu yako ipatikane kwa haraka.

Na hii ndio maana watu wengi wanao muomba Lucifer wanafanikiwa kwa haraka sana bali kujalisha wana muomba kwa kujua ama kwa kutokujua

Chaguo ni lako uende polisi au kwa mkuu wa vibaka
Da!!! bora nimuombe MUNGU tu!!
 
Na wale majini wazuri wako upande gani
 
MUNGU anajibu wakati atakao,MUNGU anatoa mitihani mikubwa na midogo kwako kupitia shetani kama ilivokuwa kwa AYUBU, kama alivompa mtihani IBRAHIM wa kumchinja mwanae baadae akabatilisha maamuzi,ujue shetani anafika mpaka mbunguni kutushitaki[alimshtaki AYUBU],,,aliruhusu YESU KRISTO MNAZARETI ateswe,lakini baadae akamfufua,,,shetani alimlaghai YESU kwamba akimsujudia yeye atampa kila kitu[yaani YESU amsujudie shetani-ndo mwanzo wa freemason huo,,,,yaani ukiingia freemanson unamwadu shetani na baada ya hapo kila ki2 kinakua shwari!!!----yaani unauza roho yako kwa maisha mafupi ya hapa duniani then akhera unaenda motoni}-----kimsingi,SHETANI anakusaidia faster ukimtii kwa sababu anataka kampani siku ya kiama na pia anakusaidia faster kwa sababu yeye amepewa kibali cha kutujaribu!!!...sasa ktk kutujaribu kwake na mitihani anayotupa,anataka RUSHWA ili akuepushe na shari lake,rushwa yenyewe ni KUJISALIMISHA KWAKE!!!,lakini ujue utafurahi kwa muda tu wa uhai wako,lakini ukifa,utateseka maisha yako yote huko!!
 
Unamkumbuka Midu Matembo (Hamidu Matembo)?

Miaka ya 2000 katikati hadi 2013/14 mitaa ya Ubungo pale kulikuwa na jamaa mbabe mmoja wa kuitwa Hamidu "Matembo".

Hamidu alikuwa ndio defacto kiongozi wa kundi la Matembo wa Ubungo yote hiyo Kagera hadi Kimara.

Sifa kubwa ya Hamidu ni alikuwa anapiga sana ngumi. Yani ni wale majamaa enzi za primary miaka ya 90 tulikuwaga tunasema "anapiga shule nzima".

Mtu pekee alie kuwa anaweza walau kusimamia na Midu Matembo ni jamaa wa kuitwa Iddi Bonge. Ila Iddi Bonge hakuwaga na ishu kama za Hamidu Matembo.

Vibaka wa Ubungo, Kimara kushuka chini hadi Kagera walikuwa wanamuheshimu na kumuogopa sana Midu Matembo.

Hamidu Matembo was frontin like kiongozi wa askari jamii/ ulinzi shirikisha but deep down alikuwa ndio kiongozi wa vibaka na waizi wote Ubungo stendi.

Midu Matembo alikuwa ni kama vile defacto president wa vibaka wote kutoka Kagera, Manzese, hadi Kimara, walio kuwa wana piga mishe zao mitaa ya stendi ya Ubungo. Wote walikuwa wana ripoti kwa Midu Matembo.

Ukikwapua simu huko ukienda kuiuza lazima upeleke ganji kwa Midu.

Ishu zote chafu zilizokuwa zinafanyika mitaa ya Ubungo stand Hamidu alikuwa anazijua.

Sasa basi ilikuwa kama umeibiwa kitu chako cha thamani lets say laptop yenye documents zako muhimu au simu yenye namba zako muhimu na unataka uipate kwa haraka basi usijaribu kwenda sijui polisi waje wakusaidie kuwapata hao vibaka urejeshewe mali zako au usijaribu kufight wewe mwenyewe kwa sababu ukweli ni kwamba huwezi kuvipata.

UFANYAJE ILI UVIPATE?
Wewe nenda kwa Hamidu muombe akusaidie kupata vitu vyako. Kama Hamidu atakubaliana na ombi lako/ kama mtakubaliana kuhusu terms and conditions basi Hamidu atakwambia njoo baada ya lisaa limoja.

Hamidu anawajua vibaka wote wa Ubungo na vibaka hao wana muogopa, wana muheshimu na kumtii. So atakacho kifanya ni kuwaitavibaka hao na kuwaambia alie pora kitu fulani aki salimishe kwake mara moja. Then Hamidu atamrudishia ndugu muibiwaji mali zake

(Akina Hamidu Matembo wapo wengi sana nchi hii almost karibu kila mtaa)

Vivyo hivyo kwa Lucifer. Kwa mujibu wa mafundisho ya dini zote kuu mbili hapa Tz.

Lucifer ndio mkuu wa majini wachafu/ malaika wachafu (mapepo)

Na hao majini na malaika wachafu ndio chanzo cha matatizo ya wanadamu.

Kwa mfano kwa habari ya magonjwa ya kichawi majini wachafu na malaika wachafu ndio wana aminika kuwasababishia watu magonjwa ya kichawi.

Ukienda kwa mganga ambae ana connection na Lucifer ili utibiwe Maradhi yako ya kichawi ni lazima huyo jini aondoshwe kwanza na ili huyo jini aondoshwe atakacho kifanya huyo mganga ni kumuomba Lucifer aje awafukuze hao majini wachafu wanao msababishia maradhi mtu huyo.

Lucifer akitoa amri basi ni ndani ya sekunde chache tu hao majini wanaondoka wana muacha mgonjwa na mgonjwa anabaki salama akiwa na afya njema na majini hao hawatorudi tena kwa mtu huyo.

Wakati nafanya research yangu kuhusu uchawi na uganga nili watembelea waganga wengi wazito wazito na nilicho gundua ni kwamba hicho ndicho kinacho fanyika kwenye madhabahu zao.

Ukienda kwa mganga hasa hasa anae jihusisha na uchawi basi jua kuwa unaenda kwa wakala wa Lucifer na ukiona mganga kamfukuza jini mchafu kwenye mwili wa mtu basi jua ni Lucifer ndio kahusika moja kwa moja. Hii ina wahusu zaidi walio tupiwa maradhi ya kichawi.

Kwanini Lucifer ambae anatajwa kuwa na uadui mkubwa na watu wa Mungu akuponye wewe mwanadamu maradhi yako? Kwa sababu anataka umuabudu yeye kama vile vile ambavyo Mungu anataka umuabudu yeye. Lucifer anataka kupata kile ambacho Mungu anakipata kwa kuabudiwa na watu. Kuna waganga wengi sana ambao wanatibu na kuponyesha kabisa maradhi ya kichawi lakini wengi wao wanatibu maradhi hayo kwa njia hii niliyo ielezea hapo juu. Kazi kwako ndugu unapoenda kwa mganga kutibu uchawi jua unaenda kujisalimisha kwa kiongozi mkuu wa majini ili awape amri wakuachie kisha yeye Lucifer ndio awe Mungu kwako.

Ukienda kanisani au msikitini (polisi) utakuwa ni sawa na mtu alie enda kesi ya kuibiwa simu polisi unaweza ukaipata simu yako au usi upate na hata kama utaipata basi itakuchukua muda mrefu sana mpaka itakosa maana. Unless otherwise ukutane na polisi (mchungaji/shekhe) mwenye connection na mkuu wa vibaka (Lucifer) ambae ataenda kuongea na mkuu huyo simu yako ipatikane kwa haraka.

Na hii ndio maana watu wengi wanao muomba Lucifer wanafanikiwa kwa haraka sana bali kujalisha wana muomba kwa kujua ama kwa kutokujua

Chaguo ni lako uende polisi au kwa mkuu wa vibaka
Nipe connection ya kumuomba lucifer nimechoka kupeleka kesi polis nami nataka nimuone hamidu matembo.
 
Back
Top Bottom