Hii ndio logic ya kumuomba Lucifer: It is very very reasonable

Viumbe wachafu wakimuingia ndugu yako naomba unitafute

Nimeusoma Sana uchawi ni kweli uchawi upo Ila uchawi ni level ndogo Sana ndo maana mchawi anachofanya ni kumuondolea MTU utulivu tu Ila katika spirit. Hawawezi kufika.
 
Licha ya mapungufu madogo madogo katika kuuelewa utapeli wa shetani

But uko 70% sahihi
 
Msaada wa Lucifer kwa wanadamu ni kama chambo kwa samaki, lengo ni kumkamata mwanadamu. Msaada wa kweli kwa mwanadamu unatoka kwa Yesu Kristo.
Kwa mujibu wa imani yako toka ukiwa mtoto , sasa ngoja tusikie imani za wengine walizo nazo toka wakiwa watoto[emoji120]
 
Hakika stori za kidini huwa zinachangamsha na kufikirika.
Nadhan watunzi hawakuwaza kuna binandam watasoma kwa kutafakari.(comprehension)
Hasa ukisoma riwaya za kwenye vitabu maarufu vya biblia, kuran na torati.
Lakini episode inayochekesha mno ni kwenye riwaya za kwenye biblia kuwa Mungu alipigwa roba na binadam aitwaye Yakobo had akaomba poo! nilichoka!
Nyingine ni Mungu kumuuliza shetan kama ameshamuona Ayubu!
 
Jamaa alikuwa mwanangu kinoma. Wakati ule Ubungo panazingua foleni miaka ya 2005 nikiwa kwenye foleni asubuhi naelekea Mwenge niliibiwa Motorola yangu smartphone,nikamwambia konda fungua mlango nishuke,abiria walinishangaa sana wakasema wewe unapoteza muda wako na utaenda kupigwa bure huko,nikawajibu kuwa kesho asubuhi tukijaliwa kukutana nitawaonyesha simu yangu.

Basi bwana,nikashuka nikateremka na ile down ya darajani kama unaenda Chibuku,nilikuwa najua maskani yake Midu yapo wapi,nikafika nikamkuta ndio anaamka,nikamwambia bingwa hapa vijana wako wamepiga Motorola yangu muda huu huu,akaniambia unaelekea wapi nikamwambia Mwenge,akaniambia wewe nenda ukirudi pitia pale darajani kwa yule fundi saa utakuta simu yako,kweli baadae nilipomaliza mishe zangu nikapitia pale nikakuta simu yangu kama ilivyo. Kesho yake asubuhi nakutana na yule konda kituoni nikamwambia cheki mtambo huu hapa.
 
Acha uongo na vitisho wewe mtumwa wa dini za majahazi
Sio vitisho mkuu, ni wazi ukianza ushirikina huwezi kutoka, wachache mnoo kwa kudra za Mungu. Na hayo mavitu yataathiri hadi kizazi chako kiongozi take care.
 
Sidhani kama kwenye bibilia kuna mahali imeandikwa watu wanamuabudu shetani, au wanamuomba kitu

Sana sana imeongelea kuhusu kushikwa na mapepo tu

Hii dhana ya waganga, kafara, misukule nk, ni ya kwetu sisi waafrika, tumeichanganya pamoja na ukristo

Hata ukiangalia mahubiri ya wazungu huwa wanaongelea mapepo tu, mambo ya ulozi hawana

Inashangaza kidogo....
 
Jamaa alikuwa mwanangu kinoma. Wakati ule Ubungo panazingua foleni miaka ya 2005 nikiwa kwenye foleni asubuhi naelekea Mwenge niliibiwa Motorola yangu smartphone,nikamwambia konda fungua mlango nishuke,abiria walinishangaa sana wakasema wewe unapoteza muda wako na utaenda kupigwa bure huko,nikawajibu kuwa kesho asubuhi tukijaliwa kukutana nitawaonyesha simu yangu.

Basi bwana,nikashuka nikateremka na ile down ya darajani kama unaenda Chibuku,nilikuwa najua maskani yake Midu yapo wapi,nikafika nikamkuta ndio anaamka,nikamwambia bingwa hapa vijana wako wamepiga Motorola yangu muda huu huu,akaniambia unaelekea wapi nikamwambia Mwenge,akaniambia wewe nenda ukirudi pitia pale darajani kwa yule fundi saa utakuta simu yako,kweli baadae nilipomaliza mishe zangu nikapitia pale nikakuta simu yangu kama ilivyo. Kesho yake asubuhi nakutana na yule konda kituoni nikamwambia cheki mtambo huu hapa.
Midu alikuwa noma ila nasikia amesha danja?
 
Midu was something else
 
Back
Top Bottom