Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Bina najiandaa kuanza kuota emb leta ndoto za kuota
Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
Watasimamia jicho sasailikuwa bado kidogo tu huyu kiumbe asimamie pembe.
[emoji15][emoji15][emoji24][emoji24]Namwona alisimamia ukucha huku akipiga SALA zote aende arudi akute kitu not used!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jogoo hafii kwa utitiri ww ,,,halafu Acha wivu wa kijinga nyie mpo wengi unafikir nan atawahudumia hao wengine lazima tutafune nje kdg bibie tunaita mechi za mchangan kuwa mpole hiyo Sio pencil useme itaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kitaalamu katika uandisi tunaita"Civil Engineering to surface and hole drilling to output joint expansion "nafikiri kwa wale mlishiriki ujenzi wa hostel za UDSM under TBA mumenielewa.
Kwa wale wazaramu maana yake " uandisi jamii wa kusimamia kucha ambao unasababishwa na uzito wa ghorofa kwa mbao tulizotega"
Contact Profesa Butron Shija Lutonja,Massachusetts Institute of Technology-Trump land!