Hii ndio Kinondoni bwana!!

Taratibu mpwa, Mchungaji akiamka atatutimua kanisani. Hahahaha! Jana mpiganaji aliswali alafu akarudi kundini na safari lager.

hicho kilaji mazee kilinishinda
 
heheheh!kweli kinindoni imesheheni.mpiganaji ndio kilaji chake kile

Mpiganaji anatisha. Mwambie asikinywee Temeke hicho kitu. Kule vibaka ndio nyumbani kwao. Hahahaha!
 
Kwa uchafu nadhani inaongoza,nenda Tandale kwa mtogole utakoma mwenyewe.
Na bila kusahau kelele za ngoma na taarabu yani taabu tupu.
 
Yaani Kinondoni jirani yako kama sio shoga ni Changu au Kibaka....endelea!!
 
Wakikusikia Tandika na Buguruni shauri yako.
halafu huko tandika siku hizi WACHINA na WAHINDI kibao.kuna wachina wamechukua geto hapa manzese pia,hehehehehe kinondoni bana!
 
Bila kuhasau nyumba za kulala wageni maarufu kama GESTI HAUSI ziko kila kona. ninapoishi mimi nyuma ya nyumba, kwenye ukuta ambao ni fensi tunapakana na gesti basi tabu tupu ndugu zangu..........madirisha ya baadhi ya vyumba yameelekea kwetu lol!!
 

A representative sample (Sinza, anzia Moroko, Manyanya, ingia mnyamala) baa kwa kwenda mbele.

Kuhusu Villa Squad, ni jukumu la FA kuendeleza soka katika eneo husika, kuna suala la kuendeleza walimu, kuandaa michezo ya kujima nguvu etc. Ukiona vyaelea ujue vimeundwa!
 
Acha uongo,DCM zipo za kumwaga,au unaongea bila kujua,angalia mwenge-mbagala alafu unipe jibu!!!
 
Hii ndio wilaya inayoact kama UNHCR,a lot of Wanyasa na wa Congo!!!
 
ndiyo wilaya ninayoipenda kwa moyo wangu woteeee
 
You are more likely kuporwa simu yako au kupigwa roba ukiwa Kinondoni kuliko sehemu yoyote ile Bongo. I dont feel safe at all nikiwa nakatiza streets za K'ndoni.
 
Kinondoni ndio wilaya ambayo watu wenye uwezo wao wamenunua viwanja vya kuzikiwa.
 
You are more likely kuporwa simu yako au kupigwa roba ukiwa Kinondoni kuliko sehemu yoyote ile Bongo. I dont feel safe at all nikiwa nakatiza streets za K'ndoni.

You are wrong mkuu, its more likely to be robbed in Tandika, Mbagala etc than in Kinondoni. Issue ni labda Kinondoni simu zinazoibwa ni za ukweli sio kama za Tandika, Temeke au Mbagala!
 
Yaani Kinondoni jirani yako kama sio shoga ni Changu au Kibaka....endelea!!

Bebeku bebekuuuu,chonde maneno hayo hayaaaa utaanza kututafuta hapa ukapumzike zkija weekedn dar..wanakusikia wenyewe hayaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…