kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,296
- 9,541
Ndo uanaume huoKutoka kushoto ni Bosco Beda Kyara na Gabriel Jerome Mombuli,wanashikiwa kwa makosa mawili,unyang'anyi wa kutumia silaha na kupatikana na mali inayoamini kuwa ni ya wizi.
Hilo shangingi ni Nissan Patrol V8,Mali ya Kampuni ya Nisk Capital Ltd ya Kenya(siyo la Ikulu ya Kernya kama ilivyoripotiwa),liliibwa Agosti 19 mwaka huu Nairobi Kenya,hawa jamaa ndo wazee wa kupokea na kuuza.
Kanda ya kaskazini mambo ni Motooooooooooooooo
Ase kumbe na penyewe ni kanda ya kaskaziniKumeitwa kanda ya ziwa kwasababu kuna ziwa mkuu,
Lakini kijiografia hakuna upande unaitwa kanda ya ziwa
Ni either
Mashariki, Magharibi, Kaskazini au Kusini
Raha ya hii nchi kwa sahivi ukabila na ukanda hauna nafasi kubwa sana, Tumeishi kwa kupendana na kuoleana. Na uskakazini wangu nimeoa usukumani, sengerema na Dada zetu wengi tu wameolewa sehemu karibu zote Tanzania hii. Ubaguzi usiyo na maana tusiupe nafasi kubwa sana.
Hongera Mkuu Kilwa, usichukulie sana serious sometimes hizi tambo tu..Nimeoa kanda ya ziwa na nina Amani kubwa kwenye ndoa yangu.
Safi, umasikini Ni laana...[emoji122]Kutoka kushoto ni Bosco Beda Kyara na Gabriel Jerome Mombuli,wanashikiwa kwa makosa mawili,unyang'anyi wa kutumia silaha na kupatikana na mali inayoamini kuwa ni ya wizi.
Hilo shangingi ni Nissan Patrol V8,Mali ya Kampuni ya Nisk Capital Ltd ya Kenya(siyo la Ikulu ya Kernya kama ilivyoripotiwa),liliibwa Agosti 19 mwaka huu Nairobi Kenya,hawa jamaa ndo wazee wa kupokea na kuuza.
Kanda ya kaskazini mambo ni Motooooooooooooooo
Manamake ya huko hayajaelimika mkuu, lazima ulipeleke utakavyo[emoji28]Nimeoa kanda ya ziwa na nina Amani kubwa kwenye ndoa yangu.
Mkuu tafadhali usinikosee heshima kwenye hiliManamake ya huko hayajaelimika mkuu, lazima ulipeleke utakavyo[emoji28]
Hii Nyerere ndo alisababisha kwa kiasi kikubwa. Hauwezi kuwashikia watu wnegine chini ili wengine ndo wapate fursa, Style ya wapi hiyo? Kuna watu hawadhibitiki.Majambazi, mafisadi na wahujumu uchumi. Ndio kanda pekee inayoweza kutoa Mafisadi, majambazi na wahujumu uchumi kushinda kanda yoyote hapa nchini. Ujambazi wa kimataifa pia umefanya na watu wa kanda hii
[emoji115] hicho kipande ni 100%
Halafu bado wanakeketwa karne hii!!!!!Hahhaaaa!!! Huko kaskazini pia kuna watoto wakali wenye chura. Wanawake wanaojiamini ambao hawaogopi ndoa kuvunjika
Hao ni wakimbizi wa ndani ya nchi, yani kwenu kuzuri alafu uende ishi mapori ya pwani kama si ujuha ni nini? Hakuna fursa zozote huko ndio maana hawakai.Shinyanga mjini walijaa sana miaka 90 sasa hivi kila duka ni la muha na msukuma hawana tena pa kuwaibia watu, wasukuma walishawashtukia hao majizi!!!!Mafuta na gesi inasemekana yapo ziwa Eyasi. Kinachonishangaza mimi ni mpaka sasa Arusha kutokuwa na kituo cha Television, Ni aibu kubwa kwa hao unaowaita matajiri wakati manispaa tu kama Morogoro wanacho.
Wasukuma bhana!Hao ni wakimbizi wa ndani ya nchi, yani kwenu kuzuri alafu uende ishi mapori ya pwani kama si ujuha ni nini? Hakuna fursa zozote huko ndio maana hawakai.Shinyanga mjini walijaa sana miaka 90 sasa hivi kila duka ni la muha na msukuma hawana tena pa kuwaibia watu, wasukuma walishawashtukia hao majizi!!!!
Mkuu,Hao ni wakimbizi wa ndani ya nchi, yani kwenu kuzuri alafu uende ishi mapori ya pwani kama si ujuha ni nini? Hakuna fursa zozote huko ndio maana hawakai.Shinyanga mjini walijaa sana miaka 90 sasa hivi kila duka ni la muha na msukuma hawana tena pa kuwaibia watu, wasukuma walishawashtukia hao majizi!!!!