Duh, hizo green vest za kijani zimekuwa hudhurungi...na hizo PT short, mwe!
Halafu wakitoka hapo ndio wanakuwa wazalendo?
Halafu wakitoka hapo ndio wanakuwa wazalendo?
Uzalendo upi ambao huutaki? Hakuna uzalendo JKT ila mateso tu kwa vijana wetu; hasa wa kike!Uzalendo huo mi siutaki!