Hii ndio JKT

Hii ndio JKT

acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo
 
dah! Mkuu nmekumbuka mbali sana mwili umenisisimka. Hyo kaz inatakiwa ujitoe kwa moyo wote na usilazmishwe na mtu. Viva JKT

Is this the best way kutunza uzalendo?
 
Is this the best way kutunza uzalendo?

uzalendo upo ndani ya moyo wa mt na haupandikizwi na mtu yeyote.
Hvyo kuwalazmisha watoto kuingia Jkt kwa sababu ya kujenga uzalendo sio kweli. Mzalendo anajitoa mwenyew
 
acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo

...toka kule,mateso ndo siri za nchi,?ndo maana mnang'oa meno watu,kisa usalama...
 
Umekosea, wanasema(ga) Yelo vesti ya kijani!... Wakati mwingine Grin vesti ya njano!

Kweli eeeeh? Operesheni Miaka 30 ya Uhuru walikuwa wanasema kama nilivyo sema....
 
hayo ndo mafunzo ya kijeshi
yakienda tofauti na hapo inakuwa picnic
au kitchen party
zinaitwa kazi za watu
cha kuomba n kumaliza salama tu
 
acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo

Hawajui tu. Navojua mm wanovujisha hizi picha ni hawahawa askari wetu mpaka zinasambaa hivi.
 
Back
Top Bottom