Hii ndio JKT

Hii ndio JKT

Wanachokifanya hawa wawili ni sarakasi na siyo sehemu ya zoezi la kijeshi au adhabu ya kijeshi ndiyo maana mpiga picha alikuwepo na wengine waliopo wanacheka na wamesimama ovyo ovyo kama raia.
 
Halafu loan board wasiwape mkopo on time waandamane sasa! Wakutane na FFU Yaani Itakua ni Majeshi mawili yanapigana! Wakitoka hapo wanachukua silaha za FFU wanaanza kutembeza kichapo, Ndio UZALENDO
 
Wanachokifanya hawa wawili ni sarakasi na siyo sehemu ya zoezi la kijeshi au adhabu ya kijeshi ndiyo maana mpiga picha alikuwepo na wengine waliopo wanacheka na wamesimama ovyo ovyo kama raia.[/QUOTE
Hao ni waNaa ....hiyo ni baada ya PT (Physical Training) wakaamua wajile tena.
Wangepiga TAnganyika Jeki ningewaSalut.
 
Hawajui tu. Navojua mm wanovujisha hizi picha ni hawahawa askari wetu mpaka zinasambaa hivi.

Mna Fikra finyu, kipi cha kuficha hapo?
Na yale maonyesho ya maderaya,kupasua Block kwa vichwa ni kutunza siri?
 
zoez kawaida mbona si tumeenda na tumefanya kazi za watu tumerud salama........😛eace:
 
bado haitoshi - wakitoka hapo na kuanza kazi ni mafisadi
 
JONASON wewe ulienda kujifunza tu basic level,karibu kwa level zingine.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom