englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Halafu ukisikiliza vyombo vya habari vya kimataifa utajua kamba Tanzania tumesahaulika, mafuriko makubwa mji mkubwa kama huu lakini sijasikia BBC wala CNN hata kuyataja kwa mpito tu.
Inabidi tuanzishe vyetu.
Na mimi nimesikiliza jioni hii, BBC.bbc na dw wametangaza sana kuhusu adha ya mafuriko ya huko dar tangu jana mpaka leo jioni nimetoka kuwasikiliza.
Omba yasikukute, utakumbuka hizi ngebe zako!Ni bahari gani hiyo jamani?
ni BBC/CNN au waandishi/wawakilishi wao ndo wa kulaumiwa!lkn huwezi jua labda wawakilishi wao wamesombwa na mafuriko au wako busy kunasua samani zao toka kwenye mafuriko!Halafu ukisikiliza vyombo vya habari vya kimataifa utajua kamba Tanzania tumesahaulika, mafuriko makubwa mji mkubwa kama huu lakini sijasikia BBC wala CNN hata kuyataja kwa mpito tu.
Inabidi tuanzishe vyetu.
bbc na dw wametangaza sana kuhusu adha ya mafuriko ya huko dar tangu jana mpaka leo jioni nimetoka kuwasikiliza.