Hii ndio Dini Kongwe Duniani

Naomba ufafanuzi kwanini ukristo umeanzishwa miaka 30 baadae na si wakati wa uhai wake?.

Hapa pia nina swali kwanini muanzilishi hajulikani manake dini pekee hapa ulizo andika hii tu haina muanzilishi.
Wakati wa uhai wake Yesu, ulikuwa ni Uyahudi wa kiliberali, au tuseme uamsho wa kiyahudi,.... Na ndiyo maana Agano jipya la Ukristo linazungumzia zaidi wakati wa Yesu
 
Wakati wa uhai wake Yesu, ulikuwa ni Uyahudi wa kiliberali, au tuseme uamsho wa kiyahudi,.... Na ndiyo maana Agano jipya la Ukristo linazungumzia zaidi wakati wa Yesu
Sawa kulikuwa na Uyahudi swali langu lipo palepale kwanini ulikuja baada ya miaka 30 ya yeye kufariki. Na hakuja nao mwenyewe?.

Inakuwaje muanzilishi hakuja na hicho kitu bali baada ya miaka 30 ndio wanasema kilianzishwa?.
 
Dunia inamiaka 6000 sindio? Na zinja wa olduvai ana miaka zaid ya milion kadhaa explain alafu tuje kwa mada yako
 
anitwa Niko ambaye niko. means yuko kwenye.all weither all form. kila engo.unayoweza kufikir au kuwa yupo. dini ipo tangu siku ya kwanza Mungu aliweka sheria yake kwenye moyo wa mwanadamu. ndio maana huhitaji kuwa Mkristo ili kujua wizi.au uzinz au uongo au roho mbaya nk kujua ni kitu binadam hapendi achilia Mungu.
 
Dhana ya Mungu ni Pana watu wanaichukulia tofauti
 
Sio Dunia ni hizo dini... dini zimekuja juzi tu. Watu waliishi miaka nenda rudi kabla ya hizo dini kuwepo.
Yes, ndo maana nikaweka list ya DINI kuanzia DINI kongwe kabisa maana yake ukristo na uislam ni DINI za juzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…