Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Mwenyezi Mungu alipomuumba binadamu alimpatia akili ya kufikiria na kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.
Mungu uheshimu uamuzi wa binadamu na ndio maana hata leo mtu akitaka kumtukana Mungu, umutukana na anaweza akaendelea kuishi bila kupatwa ubaya na hii haifanyi mtu huyo kuwa na haki.
Moja ya dhambi mbaya duniani ni ujinga! Na ujinga nao uzungumzia sio huu wa kutokujua kusoma wala kuandika bali ni ujinga wa kufanya maamuzi kwa sababu hujui kinachoendelea.
Nilichojifunza, watanzania wenzangu hasahasa wasomi wengi bado ni wajinga! Hawataki kushughulisha akili zao kufanya maamuzi mazuri badala yake wanabebewa mawazo na baadhi ya watu wanaowahusudu.
Unakuta kijana msomi wa karne ya 21 bado anatembea kifua mbele kupigana na kitu ambacho hata kwa akili za kawaida unajua hizi ni njama za kugawa umoja wa nchi.
Utasikia mara Sukuma Gang, kijana msomi unashadadia mambo ya kipuuzi kabisa ambayo mwalimu aliyapinga na kwa kiasi kikubwa aliyaondoa Tanzania.
Wengi tutahukumiwa kwa kufata mkumbo kumbukeni mnaowaiga wanalipwa ili wabomoe umoja ili nchi yetu inyonywe.
#MunguIbarikiTanzania
"Najua ipo siku mtanikumbuka...."