Hii ndio Dhambi Kubwa kuliko zote katika Siasa

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Mwenyezi Mungu alipomuumba binadamu alimpatia akili ya kufikiria na kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.

Mungu uheshimu uamuzi wa binadamu na ndio maana hata leo mtu akitaka kumtukana Mungu, umutukana na anaweza akaendelea kuishi bila kupatwa ubaya na hii haifanyi mtu huyo kuwa na haki.

Moja ya dhambi mbaya duniani ni ujinga! Na ujinga nao uzungumzia sio huu wa kutokujua kusoma wala kuandika bali ni ujinga wa kufanya maamuzi kwa sababu hujui kinachoendelea.

Nilichojifunza, watanzania wenzangu hasahasa wasomi wengi bado ni wajinga! Hawataki kushughulisha akili zao kufanya maamuzi mazuri badala yake wanabebewa mawazo na baadhi ya watu wanaowahusudu.

Unakuta kijana msomi wa karne ya 21 bado anatembea kifua mbele kupigana na kitu ambacho hata kwa akili za kawaida unajua hizi ni njama za kugawa umoja wa nchi.

Utasikia mara Sukuma Gang, kijana msomi unashadadia mambo ya kipuuzi kabisa ambayo mwalimu aliyapinga na kwa kiasi kikubwa aliyaondoa Tanzania.

Wengi tutahukumiwa kwa kufata mkumbo kumbukeni mnaowaiga wanalipwa ili wabomoe umoja ili nchi yetu inyonywe.

#MunguIbarikiTanzania

"Najua ipo siku mtanikumbuka...."
 
Ni mtazamo wako tu.
Siasa Ni mchezo mchafu. Kosa akifanya mwenzako unalikuza sana, Ni mtaji wako. Ukifanya wewe sasaaa..... Ihhhhhhhhhh
 
Mwenyezi Mungu alipomuumba binadamu alimpatia akili ya kufikiria na kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.

Mungu uheshimu uamuzi wa binadamu na ndio maana hata leo mtu akitaka kumtukana Mungu, umutukana na anaweza akaendelea kuishi bila kupatwa ubaya na hii haifanyi mtu huyo kuwa na haki.

Moja ya dhambi mbaya duniani ni ujinga! Na ujinga nao uzungumzia sio huu wa kutokujua kusoma wala kuandika bali ni ujinga wa kufanya maamuzi kwa sababu hujui kinachoendelea.

Nilichojifunza, watanzania wenzangu hasahasa wasomi wengi bado ni wajinga! Hawataki kushughulisha akili zao kufanya maamuzi mazuri badala yake wanabebewa mawazo na baadhi ya watu wanaowahusudu.

Unakuta kijana msomi wa karne ya 21 bado anatembea kifua mbele kupigana na kitu ambacho hata kwa akili za kawaida unajua hizi ni njama za kugawa umoja wa nchi.

Utasikia mara Sukuma Gang, kijana msomi unashadadia mambo ya kipuuzi kabisa ambayo mwalimu aliyapinga na kwa kiasi kikubwa aliyaondoa Tanzania.

Wengi tutahukumiwa kwa kufata mkumbo kumbukeni mnaowaiga wanalipwa ili wabomoe umoja ili nchi yetu inyonywe.

#MunguIbarikiTanzania

"Najua ipo siku mtanikumbuka...."
The Rise and fall of Sukuma Gang fame in Tanzania
 
Wewe mbonà mpuuzi, Nani amkumbuke muuaji, katili Kama Jiwe. Tutalikumbuka kwa mabaya na si mema maana hakuja jema lililolifanya
 
Mwenyezi Mungu alipomuumba binadamu alimpatia akili ya kufikiria na kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.

Mungu uheshimu uamuzi wa binadamu na ndio maana hata leo mtu akitaka kumtukana Mungu, umutukana na anaweza akaendelea kuishi bila kupatwa ubaya na hii haifanyi mtu huyo kuwa na haki.

Moja ya dhambi mbaya duniani ni ujinga! Na ujinga nao uzungumzia sio huu wa kutokujua kusoma wala kuandika bali ni ujinga wa kufanya maamuzi kwa sababu hujui kinachoendelea.

Nilichojifunza, watanzania wenzangu hasahasa wasomi wengi bado ni wajinga! Hawataki kushughulisha akili zao kufanya maamuzi mazuri badala yake wanabebewa mawazo na baadhi ya watu wanaowahusudu.

Unakuta kijana msomi wa karne ya 21 bado anatembea kifua mbele kupigana na kitu ambacho hata kwa akili za kawaida unajua hizi ni njama za kugawa umoja wa nchi.

Utasikia mara Sukuma Gang, kijana msomi unashadadia mambo ya kipuuzi kabisa ambayo mwalimu aliyapinga na kwa kiasi kikubwa aliyaondoa Tanzania.

Wengi tutahukumiwa kwa kufata mkumbo kumbukeni mnaowaiga wanalipwa ili wabomoe umoja ili nchi yetu inyonywe.

#MunguIbarikiTanzania

"Najua ipo siku mtanikumbuka...."
Shoka moja sukuma gang chali !!! Asante Mungu
 
Nimekufuatilia nimegundua una kiwango kikubwa sana cha upumbavu...
 
Sukuma gang, Isukumwe mbali huko Chato
 
Hivi nani mwanzilishi wa SUKUMA GANG? Kama na hilo hujui unaandika kitu usichokijua. Kundi muanzishe wenyewe halafu sasa hivi mjifanye mnalikana?
 
Walisema wenyewe siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu!yaliyopo na yajayo mwendo mdundo,ondoa hofu fanya kazi yako kwa uamnifu bila kumsahau Mungu mkuu.
 
Kwa hizo stress ulizonazo walah utamwona magufoool juu ya mpapai.

Tumkumbuke ng'ombe yule😀😀😀

Mtamkumbuka nyie mliokua wafaidika😀😀😀😀😀😀

Alafu punguzeni ushamba Zama zinabadilika kama mmeshupaza shingo mtakuja kujua kua hamjui kitu.
 
Back
Top Bottom