Hii ndio dawa yao

Hii ndio dawa yao

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1400244631889.jpg
 
Chezea mbu wee
Huko uvunguni mbona utatoka mwenyewe
 
Unaweza ukatumia mbinu ya kumuua mmoja wao, then wao si wataenda msibani we unaendelea kuuchapa bila bugdha!

Duuhhhh.......mkuu wewe ni m'bunifu wa mbinu ila asa ambao hawatokwenda msibani wakatuma tu rambirambi itakuaje!!!!!!!
 
hahahhaha..hiyo mbinu kachemka kabisaa,wanamacho mbu kama chui
 
...hawa wanyama ni noma,wadogooo ila wanaangusha msitu wa wanadamu...
 
Haya magonjwa yatakwisha wapi na kila kukicha yanafumuka aina kwa aina na mitaa yote kwa sasa kuna marundo ya mataka taka na kila kona ya kariakoo na kila duka na nyumba wanalipishwa ushuru sasa sijui zinaingea mfuko upi na hawa viongozi wapo tena miaka nenda rudi hawabanduki wapo tu
 
Back
Top Bottom