The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.
Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.
Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.
Dawa ya hoja ni hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app