Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Issue hapo mkuu,utawezaje kukimbia ukiwa na lita 3 za maji...?
na ukimaliza tu kutimua mbio upate lita moja nyingine nzima. Yaani hapo inakulazimu uanze mazoezi ya kunywa maji tu kwanza, ukishajiona upo fiti sasa ndio uanze rasmi tiba kamili...
Hii tiba hiii!!
 
kwenye kukimbia kwanza hushauriwi kunywa maji kabisa sababu lazima utayatapika au yatakuchosha tu,hata ukinywa kati ya mbio ni kulainisha tu mdomo na siyo yaende mengi tumboni

sasa mzee unasema lita tatu unazijua lita tatu kweli ?!!
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

We kula chakula ushibe fanya na mazoezi, kuwa na fedha za kumudu mambo yako kazi imeisha
 
kuna mtu anauza sasa matikiti ambayo hayana dawa siku hizi?!

na wewe ukifika sokoni sasa unajuaje hili limelimwa kwa dawa na hili halina dawa?!

hii ilitakiwa kuwa kazi ya mamlaka za serikali kuthibitisha ubora wa kila bidhaa inayoingia sokoni kama ambayo wanathibitisha bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi na viwandani.

tumejikiti huko ila tumesahau kuthibitisha ubora wa bidhaa tunazouziana kiholela mitaani,kitu ambacho ni hatari sana
Akikujibu ni tag please.
 
Mimi naamini hili tatizo vijana wengi wanalitengeneza wao kwanza, mfano ukianza kujijadili kuwa yawezekana nina upungufu wa nguvu za kiume ndo kwishneiiii....au unapiga mechi hiyo siku maandalizi hayakuwa mazuri dk chache ushatoka unaanza kujilaumu nguvu.
Uko sahihi!Wanawake nao wanachangia hapo
 
Utakua umekunywa maji Lita Kama 7 kwa siku hata kama utakua unakojoa lkn nimengi mno ukizingatia wengi tuna kilo 60-75 hayo mengine naunga mkono Ila hapo kwenye maji utafiti uendelee
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Maji littre 3 alafu ukakimbieeee ahahahahaha
 
Wengine wanashauli tufanye mazoezi ya kegeli , ndiyo yapi hayo? Hebu mnaojua mazoezi ya kegel mtusaidie.
 
Back
Top Bottom