Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Umefika shule ya msingi Msoga?
nimefika mkubwa, Haina tofauti na ya Mwisenge Butiama!
Umefika shule ya msingi Msoga?
Hivi wabongo miaka yote hii hawajamjua Nyerere na makusudi yake?
Kuna wakati Malecela alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Ujenzi. Nyerere akatoka kwenda safari nje. Malecela akaona ile barabara ya kwenda Msasani mbovu sana, ngoja nimtengenezee mzee chapchap akirudi iwe tayari.
Akaichonga fresh mwenyewe Cigwiyemisi.
He, mchonga kurudi si akaanza kumsema Malecela kwa nini kaitengeneza ile barabara kwa special priority!
Mama Gracia Machel alikuwa ni mmoja wa watu wa kwanza kabisa kuja kwenye msiba, akaenda Msasani. Akajiona kama ndugu wa karibu. Akaingia mpaka chumbani, hakuamini jinsi palivyokuwa bare and simple. Mpaka akaona kama anadanganywa akasema nipelekeni kwa Mama Maria mnanidanganya nyie, Nyerere ni mtu mkubwa sana hawezi kuwa anakaa humu.
Yule jamaa alikuwa kachanganya Fabian Socialism na Uafrika. Secretary na rafiki yake wa siku nyingi Joan Wickens alivyokuwa Ikulu misosi kibao lakini yule mama Muingereza anakula ki-apple na ki sandwich siku nzima.
Mtu ukizama sana kwenye intellectual ideals unaweza kusahau au kuya minimize mambo ya kawaida. Nyerere pengine alitaka kuona wananchi wanavyoishi katika hali ya kawaida, akaona kupendelea kwake kwanza si sawa katika imani zake za ukatoliki na ujamaa, halafu kutamnyima uwezo wa kuona maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Kwa hiyo? Are you therefore trying to make a judgmental value as far as his deeds being good/bad or what exactly is your point??
Charity begin at home. Butiama palitakiwa kuwa paradise ya aden. ni vizuri kwa kujenga kwanza kwenu na kuleta huduma muhimu za jamii ili uonekane unajali huduma za jamii. sasa ndio maana jiji la Dar Es Salaam halijajengeka wala taka zilikuwa hazizolewe kwa miaka 25 ya utawala wa nyerere. Kama yeye ndiye graduate wa master ya mwaka 1950s nilitegemea angejenga maktaba na shule ya secondari kijijini kwakwe lakini hakufanya lolote zaidi ya kuomba pesa za kujenga msikiti kutoka kwa kichaaa qadafi na kuweka matawi ya chama!Lakini kumbuka kuwa Mwl. hakuwa fisadi. Kwa hiyo hakujilimbikizia huduma zote muhimu kijijini kwake. Na kwa taarifa yako hali uliyoikuta ni afadhali.
wana JF,nimefika Butiama kwa mara ya kwanza kweli sikuamini apa ndio kijiji alichozaliwa na kuzikwa mhasisi wa taifa ili JK Nyerere.
Yaani kupatikana kwa maji ni shida kweli,wananchi wanaangaika usiku na mchana kusaka maji,mbaya zaidi ata upatikanaji wa maji kwenye hospital ni taabu kweli.
Majengo ya shule ya msingi yamechakaa ile mbaya,nazani hayajawai kukarabatiwa tangu shule imejengwa,kwa upande wa hospitali nayo majengo hasa wodi za wagonjwa zimechakaa naambiwa wagonjwa wananyeshewa wakati wa mvua,na ipo siku majengo yatawaangukia.
what is ya point? are you fsupport for or against the motion?Kwa hiyo? Are you therefore trying to make a value judgment in as far as his deeds being perceived as good/bad or what exactly is your point??
Hivi wabongo miaka yote hii hawajamjua Nyerere na makusudi yake?
Kuna wakati Malecela alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Ujenzi. Nyerere akatoka kwenda safari nje. Malecela akaona ile barabara ya kwenda Msasani mbovu sana, ngoja nimtengenezee mzee chapchap akirudi iwe tayari.
Akaichonga fresh mwenyewe Cigwiyemisi.
He, mchonga kurudi si akaanza kumsema Malecela kwa nini kaitengeneza ile barabara kwa special priority!
Mama Gracia Machel alikuwa ni mmoja wa watu wa kwanza kabisa kuja kwenye msiba, akaenda Msasani. Akajiona kama ndugu wa karibu. Akaingia mpaka chumbani, hakuamini jinsi palivyokuwa bare and simple. Mpaka akaona kama anadanganywa akasema nipelekeni kwa Mama Maria mnanidanganya nyie, Nyerere ni mtu mkubwa sana hawezi kuwa anakaa humu.
Yule jamaa alikuwa kachanganya Fabian Socialism na Uafrika. Secretary na rafiki yake wa siku nyingi Joan Wickens alivyokuwa Ikulu misosi kibao lakini yule mama Muingereza anakula ki-apple na ki sandwich siku nzima.
Mtu ukizama sana kwenye intellectual ideals unaweza kusahau au kuya minimize mambo ya kawaida. Nyerere pengine alitaka kuona wananchi wanavyoishi katika hali ya kawaida, akaona kupendelea kwake kwanza si sawa katika imani zake za ukatoliki na ujamaa, halafu kutamnyima uwezo wa kuona maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Charity begin at home. Butiama palitakiwa kuwa paradise ya aden. ni vizuri kwa kujenga kwanza kwenu na kuleta huduma muhimu za jamii ili uonekane unajali huduma za jamii. sasa ndio maana jiji la Dar Es Salaam halijajengeka wala taka zilikuwa hazizolewe kwa miaka 25 ya utawala wa nyerere. Kama yeye ndiye graduate wa master ya mwaka 1950s nilitegemea angejenga maktaba na shule ya secondari kijijini kwakwe lakini hakufanya lolote zaidi ya kuomba pesa za kujenga msikiti kutoka kwa kichaaa qadafi na kuweka matawi ya chama!
kuna usemi semao mtu kwao, wewe unauelewa vipi? hakuna hata raisi mmoja mabye hajajenga vizuri kwao. kweli kabisa nyerer hakuwa FISADI ila kujenga na kujilimbikizia kwao sio ufisadi bali kuwapa sifa kijiji chako kuwa faidikeni na kutoa mtawala wa nchi. wewe nenda kijiji cha mabutu huko zaire au cha samuel Doe huko Liberia, utashangaa na kuzimia kwa hizo lami na nyumba za kitaliii!

Kikwete AMEONA maisha halisi ya mtanzania! KWETU DODOMA LAMI HADI CHANG'OMBE! MAJI HADI BAHI.VYUO VIKUU HADI NG'HONGH'ONHA na kwa wenzetu KATAVI,BAGAMOYO NA ARUSHA.......MIAKA 7 TU YA KUTAWALA! wa 25 hata km 1 tu ya moram na kachumba ka 1 kadarasa!? Ah hongera! hongera! hongera zisizo na idadi.
Unajua sababu ya hizo foleni za NMC? Mwl.alikataa kuuza nchi na rasilimali zake! Mpaka wewe na mimi tuelimike tuweze kujitawala wenyewe.Umeona tunayofanya baada ya kuelimika? Km mazuzu kabisa.....mungu ampumzishe pema baba wa Taifa hili!Ni fahari na FURAHA kiasi gani aliyoihisi pale WANANCHI WAKE WALIPOKUWA WAKIKIMBIZANA NA MAGARI YA N.M.C KWA KILOMETA KADHAA ILI KUPATA KG 1 TU YA UNGA WA SEMBE! MAN hakuwa wa kawaida yale si maisha HALISI ya MTANZANIA! hata hao KARL MAX na V.I. LENIN WALIO UBUNI HUO UJAMAA NA KUJITEGEMEA HAWAKUWA NA MAISHA HAYO WAO WALA RAIA WAO!
Kikwete "Bwana Maendeleo" alihitaji kusomeshwa naye, hakuzuka tu.
vipi kuhusu unemployment huko kijijini kwake? unajua niliwahi kukutana na mnigeria kabila la Ibo, unajua NIgeria wana usemi kuwa Nyerere ni alikuwa raisi mbahili sana ilifikia kiasi mpaka mtoto wake alikuwa anaenda shule peku! sasa haya mambo unayoshangaa wewe baada ya kufika Butiama ndiyo mataifa ya nje yalikuwa yanishangaa Tanzania wakati wa Utawala wake. maana wakija hapa wanakuta hatuna TV! watu wasio na kazi hukamatwa na kutiwa jela! nchi inasimamisha huduma zote za uzalishaji na kutangaza public holiday kwa sababu ya kumpokea mandela! taka taka hazizolewi na jiji la Dar Es Salaam kunuka vibaya sana haswaaa pale kariakoo sokoni!