Hii ndio akili

Kula maisha achana na mambo ya mashamba. Tafuta mrembo mzuri na Gari kali ya kutembelea.vitu vyote tutaviacha,hivyo,ni bora kuponda raha kadri uwezavyo.
Hizi barabara, viwanda vya sukari, mafuta, nguo n.k vinajengwa kwa nini, wakati tutaviacha? Ingawa wewe ni mmojawapo wa watumiaji wa hivyo vitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…