Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
Nje ya mji, mfano bagamoyo n.k inategemea ni wapi unataka uweke kitu cha namna hiyo.Unafanya kazi Dar posta hizo eka 20 utazipata wapi?
Tutumie hizo mvua vizuri kwa kilimo.Tuendelee kujiandaa na el nino hii ndio akili... mengine ni UBATILI mkuu!
Hakika.... vp huko kijijini kwako imeshanyesha?Tutumie hizo mvua vizuri kwa kilimo.
Huku bado bado, tunapambana na mifugo pamoja na kusikiliza milio ya ndege.Hakika.... vp huko kijijini kwako imeshanyesha?
😂😂😂😂😂Tutumie hizo mvua vizuri kwa kilimo.
We unafaa kabisa uje unisaidie kung'oa visiki huku mashambani😂😂😂😂😂
Uko wapi?! Nije ning'oe hivyo visiki....We unafaa kabisa uje unisaidie kung'oa visiki huku mashambani
Una uzoefu wa kung'oa visiki vingapi ndani ya lisaa limoja?Uko wapi?! Nije ning'oe hivyo visiki....
Hao mifugo hakikisha wanakunya mahala pazuri ili mbolea iwe ya kutosha mwaka kuna hela sana...Huku bado bado, tunapambana na mifugo pamoja na kusikiliza milio ya ndege.
Wataalamu wanasema, kujitengenezea 'ecosystem'Hao mifugo hakikisha wanakunya mahala pazuri ili mbolea iwe ya kutosha mwaka kuna hela sana...
CV ni muhimu sana kuzingatia...Una uzoefu wa kung'oa visiki vingapi ndani ya lisaa limoja?
20 pamoja na we mwenyeweUna uzoefu wa kung'oa visiki vingapi ndani ya lisaa limoja?
Bei zimekaaje mkuu #BagamoyoNje ya mji, mfano bagamoyo n.k inategemea ni wapi unataka uweke kitu cha namna hiyo.
Kwa waajiriwa unaweza kusema, maisha baada ya kustaafu.
Sijajua bei, ila baadhi ya mikoa unaweza bahatisha laki 5/ekari au ata chini ya hapo.Bei zimekaaje mkuu #Bagamoyo
Tuufanyie kazi.Asante kwa ushauri wako