Ndiyo ya ccm mkuu ulitaka iwe ya chadema??
Usajili wake unaonesha ni serikali ya Tz.Hapana; nataka iwe ya serikali.
Ndege hii ndiyo ilikuwa Jet ya kwanza ya kwa rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere Mwaka 1978, na ilipewa namba za CCM kwa vile chama kilikuwa kimoja na chama kilikuwa juu ya serikali; je leo bado ina namba hiyo ya CCM?
View attachment 1110049
Hii ni ile CCM waliichukua pamoja na viwanja vya michezo, ilipowashinda gharama za uendeshaji wakairudisha wenyewe, walidhani Coaster!Ndege hii ndiyo ilikuwa Jet ya kwanza ya kwa rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere Mwaka 1978, na ilipewa namba za CCM kwa vile chama kilikuwa kimoja na chama kilikuwa juu ya serikali; je leo bado ina namba hiyo ya CCM?
View attachment 1110049
usipanicNdiyo ya ccm mkuu ulitaka iwe ya chadema??
Usihalalishe kosa, serikali haikuwa na ndege moja, kwanini hii? Pesa za manunuzi ni za serikali na kinachonunuliwa kinatakiwa kuingizwa kwenye vitabu vya serikali, hata viwanja wanatakiwa wabirudishe serikalini, Mkwakwani nipo tangu kabla ya Uhuru wao walikijenga lini?Mkuu mambo mengine ni kuachana nayo tu sasa kama ilinunuliwa kipindi ya chama kimoja automatically itakua ni mali ya chama sidhani kama wataibadilisha hilo achana nalo mkuu sio kila jambo tutalibadilisha ila ingekuw imepakwa rangi ya kijani tofauti na zingine tungekemea kwa sasa chill out nigga!!
Mtazamo wangu tu mkuu kimsingi sina muda kabisa kufikiria hizo mambo xo long sinufaiki lolote mimi ziwe za chama sijui za nan ts none of my bizness mkuu am xo sorry nakushauri na ww ufikirie mambo mengine ya msing kuinua familiaUsihalalishe kosa, serikali haikuwa na ndege moja, kwanini hii? Pesa za manunuzi ni za serikali na kinachonunuliwa kinatakiwa kuingizwa kwenye vitabu vya serikali, hata viwanja wanatakiwa wabirudishe serikalini, Mkwakwani nipo tangu kabla ya Uhuru wao walikijenga lini?
Ni ya serikali. 5H-CCM hii Anna maana ni ya chama. Ni sawa na kuwa na numba ya gari au bajaji T 234 CCM sii ya chamaHapana; nataka iwe ya serikali.
Ni ya serikali. 5H-CCM hii Anna maana ni ya chama. Ni sawa na kuwa na numba ya gari au bajaji T 234 CCM sii ya chama
5H-CCM. 5H-CCN nayo ni ya serikali Ndivyo hilivyo. Hii ndege ni ya serikaliCode ya ndege za Tanzania n 5H- baada ya hapo Tanzania inaweza kuweka label yoyote. Wakati ndege hiyo inasajiliwa ilikuwa ni mwaka mmoja tu baada CCM kuzaliwa na bado kulikuwa na mwamko sana nchini,kwa hiyo ikapewa label ya CCM kama chama tawala baada ya kuungana kwa TANU na Afro Shiraz. Ndege hiyo ilikuwa ikitumiwa na Nyerere pamoja na Jumbe, ingawa Jumbe alikuwa na ndege yake nyingine chini ya serikali ya mapinduzi. Ila ziara zake zote huku bara alikuwa akitumia ndege hiyo hiyo iwapo haitumiwi na Nyerere. Ile label ya CCM ilikuwa ni kuwaonyesha kuwa mmiliki mkuu ni CCM wakati huo! Siyo leo!
Hivi hujawahi kuona gari lenye usajili unaoishi -CCM???Ndege hii ndiyo ilikuwa Jet ya kwanza ya rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere Mwaka 1978, na ilipewa namba za CCM kwa vile chama kilikuwa kimoja na chama kilikuwa juu ya serikali; je leo bado ina namba hiyo ya CCM?
View attachment 1110049