Jifunze kukagua kabla ya kununua au omba ufundishweJBL og ziko poa ila zimekuja nyingine copy na headphone 🎧 za mchongo
Sasa unalalamika nini wakati lonya umenunua mwenyewe livae tamba nalo shambaniNaajua mbona.. Nilijua ni copy ila nikachukua tu maana ni brand, ila baaadda ya kuweka sikioni hata si kujutia bei nilotoa...
Unakuta chaji imeandikwa uraimuNa walivyo ingia ubia na nchi nyingi za Africa wanafanya wanalotaka tu
Jbl logo tu ila product ya mchinaNina soundbar kakki tu mkuu hata siwazi kabisa kuhusu hilo
Unalipa bando la elfu 10 unapewa 10Gb kwa Hali ya Sasa unajuje Kam kweli hizo ni 10gb au ni meseji tu umeandika kumbe ni 6.5gb 🤣🤣Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu..
Hazina quality ya aina yoyote.
Imenifikirisha sana.
View attachment 3672248
Nikiangalia product nyingi bongo ni kama tuna consume makapi tu. Hakuna ubora katika kila kitu.
Tukianzia kwenye vyakula na vinywaji ndo usiseme kabisa, bora hata JPM alikuwa anakwenda yeye mwenye kukagua, kuhakikisha sisi wa Tz unapata kilicho bora,
Leo angalia uchafu unaoingizwa nchini, angalieni wachina wa navyo jenga barabara kiholela, angalieni pombe zenye zisizo na viwango zinavyo inhizwa nchini, yaani hili taifa imekuwa kama jalala kabisa.
Katika nyakati watu wanakula vitu vyeney sumu na madhara makubwa ni sasa, maana hakuna mtu wa kufanya kukagua ubora wa kile kina kuwa imported lakini pia kwenye viwanda vyetu yanayo endelea humo unaweza kukuta ni mabaya zaidi ya yale Magufuli alikuwa Anaya kuta.
Leo ukinunua bando ya elf10 inaishia mapema sana, uoigaji uko kila sehemu. Watu hawako accountable hata kidogo.
Hili li nchi aisee imekuwa la ovyo sana, ndo maana hata siwashangai watu wanao hama mazima kabisa.
Ukweli usemwe tu El Nino ikija na magonjwa hatarishi tutapukutika vibaya, maana hata miundo mbinu imekaa vibaya sana. Mazingira machafu, Mifereji imejaa uchafu, na watu hawajali kabisa
Pole kwa kupigwa kwa kujitakia...Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu..
Hazina quality ya aina yoyote.
Imenifikirisha sana.
View attachment 3672248
Nikiangalia product nyingi bongo ni kama tuna consume makapi tu. Hakuna ubora katika kila kitu.
Tukianzia kwenye vyakula na vinywaji ndo usiseme kabisa, bora hata JPM alikuwa anakwenda yeye mwenye kukagua, kuhakikisha sisi wa Tz unapata kilicho bora,
Leo angalia uchafu unaoingizwa nchini, angalieni wachina wa navyo jenga barabara kiholela, angalieni pombe zenye zisizo na viwango zinavyo inhizwa nchini, yaani hili taifa imekuwa kama jalala kabisa.
Katika nyakati watu wanakula vitu vyeney sumu na madhara makubwa ni sasa, maana hakuna mtu wa kufanya kukagua ubora wa kile kina kuwa imported lakini pia kwenye viwanda vyetu yanayo endelea humo unaweza kukuta ni mabaya zaidi ya yale Magufuli alikuwa Anaya kuta.
Leo ukinunua bando ya elf10 inaishia mapema sana, uoigaji uko kila sehemu. Watu hawako accountable hata kidogo.
Hili li nchi aisee imekuwa la ovyo sana, ndo maana hata siwashangai watu wanao hama mazima kabisa.
Ukweli usemwe tu El Nino ikija na magonjwa hatarishi tutapukutika vibaya, maana hata miundo mbinu imekaa vibaya sana. Mazingira machafu, Mifereji imejaa uchafu, na watu hawajali kabisa
Hapo utakuta uhalisia ni 16gbSasa hivi nimewakomoa ninachukua Gb20