GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,086
- 110,150
Huwa nawaandikia Intelligent People hapa JamiiForums na huwa Naeleweka nao Vyema mno tofauti na Majuha ( Nuts ) wa mfano wako.Wtf!?
Ndo umeandika nini we pompoma!?
Mafumbo kama yamezidi Msamiati wa Lugha nakosa Tafsiri. Wataje kwa Majina kama kweli we ni Mzalendo.Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao ndiyo Wanaoongoza kwa Kutuumiza.
Acha kujificha kwenye kichaka Cha IQ yangu,umeandika shudu pro max zengeliHuwa nawaandikia Intelligent People hapa JamiiForums na huwa Naeleweka nao Vyema mno tofauti na Majuha ( Nuts ) wa mfano wako.
Ushauri wa bure Kwako kwakuwa IQ yako ni Kiduchu au hauna kabisa usiwe unapoteza muda wako Kufungua Threads zangu zinazohitaji Akili Kubwa tupu Kuzisoma.
Nimemaliza.
Hana ujasiri huo,hana mwoga huyuMafumbo kama yamezidi Msamiati wa Lugha nakosa Tafsiri. Wataje kwa Majina kama kweli we ni Mzalendo.
Jamaa nasikia eti ana degree kutoka SAUT aiseeWtf!?
Ndo umeandika nini we pompoma!?
Ya mwaka 2009 tu pekee niliyokabidhiwa na Genius Katibu Mkuu wa TEC ( Kanisa Takatifu Katoliki ) na aliyekuwa Vice Chancellor na Mhadhiri wangu wa Somo la Media Law Dk. Charles Kitima.Jamaa nasikia eti ana degree kutoka SAUT aisee
Na haya ndo madhara yake aisee anahororoja tu(in FaizaFoxy's voice)Nilikuuliza umeshwahi kuvuta ukaniambia ooh rasta nipe tu nijaribu mbona we unavuta na hujafa
Haya sasa
Itakuwa ni degree ya mchongo hiyoYa mwaka 2009 tu pekee niliyokabidhiwa na Genius Katibu Mkuu wa TEC ( Kanisa Takatifu Katoliki ) na aliyekuwa Vice Chancellor na Mhadhiri wangu wa Somo la Media Law Dk. Charles Kitima.
Labda degree ya heshimaJamaa nasikia eti ana degree kutoka SAUT aisee
Ningekuona una Akili kama umeona nimeandika Shudu ungeachana na huu Uzi lakini kwa Kudhihirisha kuwa kumbe nawe ni Shudu Plus bado unaendelea kupoteza muda wako na Kuhangaika na Mimi ambaye hata tu 5% ya IQ niliyobarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu hujaifikia.Aaahaaaa,
Kubali mkuu kuwa umeandika shudu,pompoma pro max zengeli wewe
No najaribu kukurudisha kwenye reli,punguza kuandika shudu,haikufai Kwa kaliba Yako humu jfNingekuona una Akili kama umeona nimeandika Shudu ungeachana na huu Uzi lakini kwa Kudhihirisha kuwa kumbe nawe ni Shudu Plus bado unaendelea kupoteza muda wako na Kuhangaika na Mimi ambaye hata tu 5% ya IQ niliyobarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu hujaifikia.
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?Nilikuuliza umeshwahi kuvuta ukaniambia ooh rasta nipe tu nijaribu mbona we unavuta na hujafa
Haya sasa
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?No najaribu kukurudisha kwenye reli,punguza kuandika shudu,haikufai Kwa kaliba Yako humu jf
Hichi ulichoandika ukiwa kelolo na Chimpumu, Ulanzi-(mkangaf/mdindif),kaitaba, ama komoni!?Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao ndiyo Wanaoongoza kwa Kutuumiza.