Hii nchi ina wizara ya maji?

Hii nchi ina wizara ya maji?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki.

Hii nchi ina wizara ya maji kweli?
 
Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki.

Hii nchi ina wizara ya maji kweli?
Waziri wa maji ni moja ya mawaziri wanaosifiwa kwelikweli mkuu🤣

Ni changamoto sana yani
 
Back
Top Bottom