Hii nchi Haitujali kwa Dhati

Mwanzoni kosa lilikua ni la CCM

Lakini kwasasa hali ilipofikia, kosa ni letu sisi Wananchi kwa kufumbia macho swala hili. Tumekua keyboard warrior bila kuchukua hatua.....
Wananchi ni kama tumekata tamaa.
Hatuelewi tumlalamikie nani.
Alikuwepo aliyetupa matumaini wananchi kwakuyafanyia kazi hayo yote hapo juu lakini naye mfumo wao haukumuhitaji.
Hii ndio sababu hasa ya sisi wananchi kukata tamaa, hasa baada ya kugundua kuwa mfumo wa hawa wanasiasa na wanaharakati hauna jema lolote kwa sisi wananchi.
Tutafanyaje sasa?
Wanasiasa waliopo sasa hawaaminiki. Si wa chama tawala wala upinzani. Kilichobaki ni kudra za mwenyezi Mungu.
 
Yule jamaa angekuwa mtu private ingekuwa safi...Ila hata ufanyaje ishu za vyama vitakumaliza tu, wale watu wako wa karibu wana mchango mkubwa katika kubadili tabia yao..

Ukiwa CCM ipo siku utakuwa zombie tu kama unashirikiana nao.
 
Sio Ccm pekee inawafanya watu kuwa mazombie. Hata vyama vingine vya siasa ni hivyo hivyo tu.
Ishu ya mgombea binafsi ukiliangalia vizuri inaweza kutuletea mabadiliko makubwa.
 
Mifumo haisomani ndio maana kila mtu na lwake. Katiba mpya muhimu ili mifumo isomane, wengine wasitimbue pesa wakati wenzao hawana huduma!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Wanatuhadaa hivyo ndo maana wanapigiwa kura.

Tuinyime kura uone kama hawategemei kura zetu
Miaka yote inanyimwa kura ila inashinda kwa kishindo elewa tu hai jamaa hawategemei kura yako na yangu ndo maana hawataki kubadili katiba na muundo wa tume huru usiowabeba.
 
Mwanzoni kosa lilikua ni la CCM

Lakini kwasasa hali ilipofikia, kosa ni letu sisi Wananchi kwa kufumbia macho swala hili. Tumekua keyboard warrior bila kuchukua hatua.....
Hatuwezi, wote kuwa Mandela, Steve Biko, au, nyerere, au, Lumumba,
Hii nchi inabidi ipinduliwe, military coup, ndio inahitajika, kamata,top cadle yote ya CCM, chapa risasi, au, tupa jera!
 
Miaka yote inanyimwa kura ila inashinda kwa kishindo elewa tu hai jamaa hawategemei kura yako na yangu ndo maana hawataki kubadili katiba na muundo wa tume huru usiowabeba.
Mkuu
Tqfakati hili. Kura nyingi zinapigwa kwa CCM kwa sababu ya hii hofu kwamba hata msipoipigia wanaiba zote.

Wengi humu wanainanga CCM lakini kwa siri wanakula na kunywa nao damu za wananchi. Hivyo tukiachana na unafiki, CCM haitoboi
 
Majizi yanaiba Kaka, kama kura ni suluhisho ccm ingekuwa nje by now
msikatishe watu tamaa , sio tunapiga kura ili kuitoa ccmu kupitia uchaguz ila kupitia kura hata NEC na wengine wakiona misimamo ya wengi bas ndan yao wapo watajitoa chambo , tusikatishane tamaaa
 
Mkuu
Tqfakati hili. Kura nyingi zinapigwa kwa CCM kwa sababu ya hii hofu kwamba hata msipoipigia wanaiba zote.

Wengi humu wanainanga CCM lakini kwa siri wanakula na kunywa nao damu za wananchi. Hivyo tukiachana na unafiki, CCM haitoboi
Mkuu nakukayalia hapo ukitaka kujua CCM uchaguzi kwao kiini macho kwanza angali muundo wa tume nani anawaweka pale kisha rejea uchaguzi wa 2020 uzuri Jiwe yeye alifanya hadharani haikua sirini kama miaka yote.
 
Hatujafanya proof ya hili kwa udhati wake.

Tuondoe dhana ya kuibiwa. Nchi nzima tuhamasishane tusiwape kura.

Sauti ya umma ni sauti ya Mungu
Mkuu unaaamini katika uchaguzi mkuu wa 2020 aliyeshinda ubunge CHADEMA kwa kura ni Aidan Kenani pekee?

Wanachofanya CCM si kuiba kura tu, bali pia wanapanga matokeo ya kutangaza na kujitangazia ushindi kwa kiwango wanachotaka. Wanajisevia. Ni mtindo wa kikomunisti:

You see? The voter does nothing. The teller does something. Yet it is the results announcer (appointed by the President) who calls the election for the winner - who finally matters,
 
Ukipata nafasi ya kuiba pesa ya serikali IBA usiionee huruma pesa ya serikali

Kwepa kulipa kodi kadiri uwezavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…