Hii nchi Chid Benz yuko juu ya sheria?

Hii nchi Chid Benz yuko juu ya sheria?

Kwa idadi ya vikete na vimsokoto anavyokutwa navyo hata kutangazwa ni sababu ya umaarufu wake tu,hajawahi kukutwa na shehena kama ulivyoandika umeover exaggerate aisee,ni vimsokoto kidogo tu ambavyo huko mtaani wanakamatwa navyo mapusha wengi wanatoa senti kidogo wanaachiwa maana kuhangaika nao mahakamani ni kupoteza tu kodi zetu kwa kuwalisha bure huko rumande.
 
mleta mada anatoa mapovu ya hatari kwa wachangiaji.ukileta mada humu uvumilie yote,sio kuwatusi walio kinyume na mawazo yako bwana mdogo.watu wanakuchora tu
 
Naomba kujua kama Chid Benz yuko juu ya sheria.

Amekamatwa zaidi ya mara 4 na shehena ya madawa ya kulevya, kila akikamatwa umma hua unajulisha lakini baada ya muda mfupi tunamuona uraiani kama kawaida.

Sheria ya kupambana ma madawa ya kulevya inaseam wazi kua ukikamatwa hakuna dhamana na kifungo ni miaka 30 jela.

Hii tumeona ikitokea kwa watu wengi sana ila hali inakua tofauti inapokuja kwa chidi Benz, yeye kila akikamatwa anaachiwa kuja kula good time na kuvuta bangi zaidi na kuzisambaza.

Mbaya zaidi teja na muuza madawa ya kulevya mkubwa kama chidi benzi anapewa platform kuperfom kwenye matukio live kwenye vyombo vya habari.

Maana yake watoto wetu waendelee kujifunza toka kwa chidi benz kuendelea kuvuta unga maana wanajua wakikamatwa wataachiwa.

Hii nchi sijui nani alieiroga alishakufa. Fuccthis country.
Ameiroga jiwe
 
Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kusema Chid alikamatwa na "shehena" ...sio huyo rpc wako wa kiboya na video zake za futuhi
 
kama unauhakika utakua na watoto muombe mungu tu sio kumzihaki mtoto wa mtu ambaye wazazi wake walikua na ndoto kubwa juu yake,

mazingira aliyoyapitia chid tangu utoto wake mpaka ujana wake ni mtihani mkubwa kushinda changamoto , nani aliyekua hatamani kua chid wa dar es salaam stand up,, kwa wasanii unaowajua . Chid alishika pesa , umaarufu nani alikua mshauri mzuri rafiki mzuri kwake““““ .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom