Hii nchi Chid Benz yuko juu ya sheria?

Hii nchi Chid Benz yuko juu ya sheria?

Hata mimi sikuandika kwa ajili ya mataahira kama wewe. Tafta mume uolewe. Acha kudandia waume za watu. Mimi nina mke na mke wangu ana wivu sana. Akikujua umekwisha..
ulipo pishana na mchangiaji ni neno shehena wakato jamaa anakutwa na kete tu
 
Sababu ni kuwa jamaa ni muathirika wa madawa ya kulevya tayari kwa hiyo anahitaji tiba na ushauri zaidi ndivyo vitamsaidia na sio kumuweka ndani/jela, mamlaka husika zinalitambua hilo ndio maana yupo nje.
 
Style ya Uimbaji wake na Mashairi yake,yamejaa ujasiri sana,ni kama leo usikie Roma Mkatoliki teja....
Mkuu ubabe sio kuimba mashairi ya kibabe. Tupac aliimba sana kibabe lakini alikua na mwili mdogo kama kibamia na hata alipokamatwa kwenda jela moja huko kwao alikutana na wababe wakamtafuna.
 
Naomba kujua kama Chid Benz yuko juu ya sheria.

Amekamatwa zaidi ya mara 4 na shehena ya madawa ya kulevya, kila akikamatwa umma hua unajulisha lakini baada ya muda mfupi tunamuona uraiani kama kawaida.

Sheria ya kupambana ma madawa ya kulevya inaseam wazi kua ukikamatwa hakuna dhamana na kifungo ni miaka 30 jela.

Hii tumeona ikitokea kwa watu wengi sana ila hali inakua tofauti inapokuja kwa chidi Benz, yeye kila akikamatwa anaachiwa kuja kula good time na kuvuta bangi zaidi na kuzisambaza.

Mbaya zaidi teja na muuza madawa ya kulevya mkubwa kama chidi benzi anapewa platform kuperfom kwenye matukio live kwenye vyombo vya habari.

Maana yake watoto wetu waendelee kujifunza toka kwa chidi benz kuendelea kuvuta unga maana wanajua wakikamatwa wataachiwa.

Hii nchi sijui nani alieiroga alishakufa. Fuccthis country.
ukiona hivyo ujue wakubwa ndio wanamtuma..polisi wanamkamata huku wakiwa hawajui kuwq mzigo ni wa mkubwa wakishajua inabidi wamuachie tu .. hakuna namna
 
ulipo pishana na mchangiaji ni neno shehena wakato jamaa anakutwa na kete tu
Mkuu, sheria ya madawa ya kulevya haitofautishi kati ya kete au msokoto mmoja na magunia 200 ya bangi au kontena la heroin. As long as umekutwa kete moja ni sawa na mtu aliekamatwa na shehena la madawa ya kulevya. Ndio maana nimetumia neno shehena.
 
Nakupa kazi, anza kufuatilia ni wakati gani huwa wanamuogesha freshi na kumvalisha nguo mpya na kumleta mbele ya vyombo vya habari. Kabla au baada ya yeye kuonekani ni tukio gani linakuwa limeshatokea au litatokea.
Anzia kamavile unamtafuta mwehu aliejisalimisha kanisani kwa gwajima na kukiri kuteka na kumdhuru Ulimboka.
 
Naanza kusoma tu nakutana na neno shehena ya madawa ya kulevya nikagundua uzi umeandikwa mpuuzi mmoja, sijaendelea kuusoma wala kutaka kujua Id ya mwandishi.
Sahihi kabisa mkuu.Ati anadai pia Chid ni muuzaji kwa upuuzi wake.
Chid ni mgonjwa sawa na Ray C ndio sababu serikali imenunua Methadone kuwatibu mateja.
 
Uyo itakuwa ni punda wa kikudi flani ambacho kuna mkubwa behind hicho kikundi
 
Kuna mateja kibao mitaa mbali mbali wananesa na unga na bangi ila wapo tu hawajapelekewa popote...


Cc: mahondaw
 
Mwenyewe nimeshangaa kumuona yuko taifa anatuimbuiza leo, nikajikuta namkumbuka manji ghafra.
 
Chidi namjua sio muuzaji angekuwa muuzaji asingechoka

Chid saa nane za usiku anakatiza barabara ya jangwani kwa miguu ,chidi saa nane za usiku anazinguana na dereva bodaboda kino hana hela

Chidi ni teja na hakuna sheria ya kumfunga miaka 30 mtumiaji na ndio maana mara nyingi anachoropoka..sheria mtumiaji ataenda sober na kulipa faini au kifungo mwaka
 
Wanaokamatwa na shehena kesi yake ni tofauti na ndio maana hao kingpin wakikamatwa na kazi zao wanaweza kusafirishwa nje ya Nchi walikofanya makosa wakahukumiwe huko kwa msaada wa Interpol...na kosa la kukutwa na madawa ndani inatofautiana na anaekutwa akiusafirisha kwa gari au kwa ndege hukumu hii inakua kubwa zaidi..
 
Chiz hafungwi,think positively
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom