Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Naomba kujua kama Chid Benz yuko juu ya sheria.
Amekamatwa zaidi ya mara 4 na shehena ya madawa ya kulevya, kila akikamatwa umma hua unajulisha lakini baada ya muda mfupi tunamuona uraiani kama kawaida.
Sheria ya kupambana ma madawa ya kulevya inaseam wazi kua ukikamatwa hakuna dhamana na kifungo ni miaka 30 jela.
Hii tumeona ikitokea kwa watu wengi sana ila hali inakua tofauti inapokuja kwa chidi Benz, yeye kila akikamatwa anaachiwa kuja kula good time na kuvuta bangi zaidi na kuzisambaza.
Mbaya zaidi teja na muuza madawa ya kulevya mkubwa kama chidi benzi anapewa platform kuperfom kwenye matukio live kwenye vyombo vya habari.
Maana yake watoto wetu waendelee kujifunza toka kwa chidi benz kuendelea kuvuta unga maana wanajua wakikamatwa wataachiwa.
Hii nchi sijui nani alieiroga alishakufa. Fuccthis country.