Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
"Mgonjwa kapimwa kwa X-ray ikaonekana ana mende kifuani.Mchango ukapitishwa kauza mali zake zote kaenda india kufika kule X-ray za india zikaonesha hakuna mende kifuani.
KUMBE MENDE ALIKUWA NDANI YA X-RAY MASHINE ZA BONGO.
KUMBE MENDE ALIKUWA NDANI YA X-RAY MASHINE ZA BONGO.