Hii nayo ni mpya kwangu!

Hii nayo ni mpya kwangu!

Huyu afande naye katabasamu ile mbayaaa
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu. Ungalikuwa wewe pengine hata hiyo kofia ungevua. Mbowe alifanya zaidi ya kutabasamu enzi zile za Kamanda Wema. Acha wanawake waitwe wanawake.
 
Ha ha ha wema huyu huyu aliyeomba radhi leo?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom