Hapo ni ile ngome ya zamani ya wareno kule mombasa
inayoitwa Fort Jesus.
Sasa wao wanaweka tahadhari yakuwa mwangalifu kwa
wale wanaoogelea maeneo hayo kwa kulikejeli Jina lililo
kuu kuliko majina yote (Jina La Yesu). (phil 2:9-11).
May the Lord shine light on them that they may see the
truth. Amen

Mkuu umeenda mbali sana, wala hawakuwa na dhamira hiyo ya kumkashifu masiya wetu Yesu kristu, ni vile wanatahadharisha kuwa ukizama hapo hakuna mtu wa kuja kukuokoa!

nadhani ni kweli kuwa unapoenda kuoga, ukipatwa na tatizo, hakuna huduma ya uokoaji. kwa kuwa tunatumia mara kwa mara neno mwokozi kwa Yesu, yaani Saviour, sasa nao wakivyotumia hilo neno hapo ndio imechanganya kidogo
Kuna NGome inaitwa Fort Jesus yaani Ngome ya YESU kwa wale wana historia sikumbuki ipo Mombasa sijui wapi, lkn Nadhani huo ni ujumbe kutoka Fort JEsus kwamba unapokuwa unaogelea kuwa makini hakuna watu wa msaada (LIFEGUARD) maeneo hayooo

Hiyo ni tafasiri yako, Bango halisemi kutokuwepo lifeguards, wala kuwepo au kutokuwepo kwa kitu chochote kinachohatarisha maisha ya waogeleaji. Cha kushangaza zaidi kwenye bango hakuna neno au alama inayoonyesha onyo au tahadhari. Fikira sahihi hapa ni kuwa waliotengeneza bango hilo ni wahuni wanaoamini kuwa Yesu si chochote wala lolote.