Hii Nayo Je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Nayo Je?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mpagama, Mar 11, 2011.

 1. Mpagama

  Mpagama Senior Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Naomba msaada kwenye tuta, ujumbe halisi ni upi katika bango hili?
   

  Attached Files:

 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kamau tusaidie.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ngumu kumesa!
   
 4. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  Hapo ni ile ngome ya zamani ya wareno kule mombasa
  inayoitwa Fort Jesus.

  Sasa wao wanaweka tahadhari yakuwa mwangalifu kwa
  wale wanaoogelea maeneo hayo kwa kulikejeli Jina lililo
  kuu kuliko majina yote (Jina La Yesu). (phil 2:9-11).

  May the Lord shine light on them that they may see the
  truth. Amen
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mimi nimeelewa kuwa hakuna mtu wakukuokoa ukipatwa matatizo wakati wa kuogelea!
   
 6. Muro

  Muro Senior Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni kiswahili ya Kenya,kwao hawana tatizo kabisa na tafsiri kwa waTZ hii ni kashfa tena kubwa:embarassed2:
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu umeenda mbali sana, wala hawakuwa na dhamira hiyo ya kumkashifu masiya wetu Yesu kristu, ni vile wanatahadharisha kuwa ukizama hapo hakuna mtu wa kuja kukuokoa!
   
 8. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  I might be wrong but I have a feeling that is the intention.
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Luga gongana.
   
 10. l

  lusuadam Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nadhani ni kweli kuwa unapoenda kuoga, ukipatwa na tatizo, hakuna huduma ya uokoaji. kwa kuwa tunatumia mara kwa mara neno mwokozi kwa Yesu, yaani Saviour, sasa nao wakivyotumia hilo neno hapo ndio imechanganya kidogo
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kuna NGome inaitwa Fort Jesus yaani Ngome ya YESU kwa wale wana historia sikumbuki ipo Mombasa sijui wapi, lkn Nadhani huo ni ujumbe kutoka Fort JEsus kwamba unapokuwa unaogelea kuwa makini hakuna watu wa msaada (LIFEGUARD) maeneo hayooo
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni sawa na yale matangazo ya "parking at your own risk"
   
 13. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni tafasiri yako, Bango halisemi kutokuwepo lifeguards, wala kuwepo au kutokuwepo kwa kitu chochote kinachohatarisha maisha ya waogeleaji. Cha kushangaza zaidi kwenye bango hakuna neno au alama inayoonyesha onyo au tahadhari. Fikira sahihi hapa ni kuwa waliotengeneza bango hilo ni wahuni wanaoamini kuwa Yesu si chochote wala lolote.
   
Loading...