Dah Amavubi hicho kicheko na mkao aise nimeshindwa kuuelewa kabisa ndo maana nimepata kigugumiziVipi Mr Mwamba?
Dah Amavubi hicho kicheko na mkao aise nimeshindwa kuuelewa kabisa ndo maana nimepata kigugumizi
Umeona eehhh dah mambo gani haya tenakicheko sio cha kawaida