Hii mvua hatari

Sasa kama mwajeshi anabebwa, tunamtegemea nani kuokoa waliozama kwenye mafuriko!?
 
Askari mwenyewe kavaa open shoes,wa nchi gani huyu?
 
Kuna atakuwa anatumikia adhabu hapo...maana wandata wana sifa sana
 
Wakuu huyo ni askari wa Tanzania kweli, kwanza hizo sandals na hiyo bunduki......si rahisi sana kumkuta mjeda wa TZ akiwa na mashine kama hiyo uraiani.......ila popote alipo amelizalilisha jeshi, askari gani badala ya kuokoa raia yeye ndio anaokolewa?......kweli mvua noma.
 
hizo sendo huwa wanavaa alshabab ili wakishaua makafiri iwe rahisi kuswali na kutayarishiwa bikra akhera
 
Sio askari wa bongo huyu maana wanavyo pendaga sifa!! Sidhan kama angekubali kubebwa.
 
huyo ni mwanamgambo sidhani kama ni askari huyo. askari gani anavaa yeboyebo!
 
Hiyo picha ni waasi wa congo sio Bongo waswahili bwana lazima watie chumvi kidogo!
 
Mh! hii silaha majeshi yetu hatutumii dizaini kwani hii ni Iran made na Kenya ndo wanatumia hizi bunduki zinazotengenezwa na waIran na baadhi ya nchi za kiafrika....so hii sio kweli kua huyu ni mwanajeshi wa TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…