Hii miwani ya kawaida au?

Hii miwani ya kawaida au?

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,183
nasikia kuna nyingine zinarecord video
 

Attachments

  • waziri.jpg
    waziri.jpg
    3.8 KB · Views: 299
Mi naona ni ya kawaida ila inasisitizwa kwamba ni vema ukapima macho kabla hujavaa miwani hata kama ni ya jua tu.
 
Mi naona ni ya kawaida ila inasisitizwa kwamba ni vema ukapima macho kabla hujavaa miwani hata kama ni ya jua tu.

mkuu umemuangalia vizuri lakini? maana alipo hakuna jua!
 
Back
Top Bottom