Kinyesi hakina mwiba lakini ukikikanyaga lazima uchechemee.
Hata uwe na bahati vipi, huwezi kuokota nyumba.
Picha ya Rais haina Bodyguard.
Urefu na ufupi ni majaliwa ya Mungu,
Unene na wembamba ni juhudi binafsi.
Hata uwe na kontena mia za viatu, Usiku lazima ulale peku.
Paka haishi nyumba ya Msela.
Ukitaka kujua shotikati, poteza nauli.
Ikisimama Panda,
Ikinywea Shuka.

Chiboko au Chimamba!
Kwa misemo hii nadhani tutaendana, ngoja nizame kwenye ule uzi wako wa kutafuta ..... tehe tehe.
Muzima lakini Madame B???
Umetisha lakini nami natupia kuwa japokuwa muda ni mtamu na mlaini lakini lazima ukutane na fundo!!
Hahahaaa... Basi chikenge Lol!!
Hahaha!!
Ama kweli Dagaa mboga,kuku mpaka sikukuu.
Looh!
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Hapo nadhani ulikuwa unamaanisha Muwa Mzee wa Rula.
Wajanja wanakwambia hivi,
Hata Bata awe mchafu vipi,lazima atataga yai jeupe.
Kinyesi hakina mwiba lakini ukikikanyaga lazima uchechemee.
Hata uwe na bahati vipi, huwezi kuokota nyumba.
Picha ya Rais haina Bodyguard.
Urefu na ufupi ni majaliwa ya Mungu,
Unene na wembamba ni juhudi binafsi.
Hata uwe na kontena mia za viatu, Usiku lazima ulale peku.
Paka haishi nyumba ya Msela.
Ukitaka kujua shotikati, poteza nauli.
Ikisimama Panda,
Ikinywea Shuka.
Madame B. ni nouma yani umeshuka kama unashuka freestyle flani hivi yani! Pia umenichekesha sana
Kuku Kuku, Jogoo jina
Mganga haagizi samaki
Msiba wa kujitakia hauna pole
Kopo la chooni ni la chooni tu, hata liwe jipya halikai kabatini.
Mjini sura na shape, tabia kijijini.
Nazi haijikuni.
Utasubiri saana embe chini ya mwarobaini.