asiejua maana haambiwi maana....
Kweli mavi ya kale hayanuki
Yote hiyo hutakiwi kuichukulia literal.
Unatakiwa uangalie situation uliyopo kisha upime kama kusubiri ni bora kuliko kuharakisha,ama kuharakisha ni bora kuliko kuchelewesha. Pia kila kimoja kinatakiwa kifanyike kwa kiasi, ndio maana siku hivi tunasema mvumilivu hula mbivu au mbovu.Hivyo kama utakua mjanja na kujua kwa muda gani usubiri faida itakua kwako, ila ukizidisha hasara ni yako wewe.
akiwa nayo ishu linginelakini hana mjunga
kama aulizaye!
akiwa nayo ishu lingine