Hii mimba ya kwangu au nimepigwa?

Hii mimba ya kwangu au nimepigwa?

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,513
Reaction score
9,553
Habari,

Msaada wenu wanajukwaa

Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.

Hii mimba ni yangu?

Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
 
Vijana safi sana naona mnafuata ushauri wangu....raha ya kugegeda ni kula mbususu bila condom.
 
Kama takwimu ulizoweka ni kweli, mimba sio yako, mana umekutananae tar 23, siku ya 24 ya mzunguuko, hapo ilikua bado siku tano aingie hedh nyingine.

Mngekutana kati ya tar 9 hadi 18, in between chochote ungekua mhusika.
 
Kama takwimu ulizoweka ni kweli, mimba sio yako, mana umekutananae tar 23, siku ya 24 ya mzunguuko, hapo ilikua bado siku tano aingie hedh nyingine.
Asante.
Takwimu ni za kweli 100%
 
Oya laza mshale mapema toka nduki mwendo wa ngiri hicho kijusi kina mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom