Hii mimba sihusiki nayo kabisa...

Hii mimba sihusiki nayo kabisa...

Vyuma vimekaza. Sponsors wapo busy na familia zao lazima watafutwe wa kubambikiwa
 
Kupata mimba siku moja kabla ya period huwa inatokea japo ni mara chache. Wengine wanapata wakiwa period kabisa ni nini siku moja kabla ya period?
Kuwa makini isijekuwa unaikana damu yako.
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi
kuosha mikono kwa maji safi na
sabuni mara kwa mara na kwa siku
chache hizi jaribu kutulia nyumbani
kuepusha maambukizi ya
#CORONAVIRUS
 
Kupata mimba siku moja kabla ya period huwa inatokea japo ni mara chache. Wengine wanapata wakiwa period kabisa ni nini siku moja kabla ya period?
Kuwa makini isijekuwa unaikana damu yako.
really???? Kama nikwel ase! hiyo papuchi itakuwa ina ulemavu
 
Kupata mimba siku moja kabla ya period huwa inatokea japo ni mara chache. Wengine wanapata wakiwa period kabisa ni nini siku moja kabla ya period?
Kuwa makini isijekuwa unaikana damu yako.
Hakuna kitu kama hicho na hakita kuja wahi tokea kamwe na hakuna science kama iyo neva ever labda kwa uwezo utakao juu. Yai limeshakua disintegrated na limekua absorbed in uterus na ule ukuta wa mimba umemomonyoka utoke kwa ajili ya next cycle ya kumpokea mtoto atakayekuja afu mimba itokee wapi na wapi? Kwa yai lipi? Uyo mtoto atajiatach vp kwenye uterus akati lining ishabomoka.. nonsense!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa amefeli
Alianza period m
Sijasema sihitaji mtoto ila sio kumpa mtu mimba kwa aina hii ndio kunaondoa uhalisia
Au wewe unaweza pata mimba kinamna hii?
Alianza period match 26,27,28,29 alitoka(,30,31, 1,2,3,4) free days,(5,6,7,8,9,10,11) danger days(12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22 ) free days. so kuanzia trh 23,24,25,26,27.mpaka hapo mlipokutana ilibidi awe period so alikuja na mimba.
 
Inatokea. Na hizi za kuhesabu siku hazifanyi kazi kwa kila mtu.
Sure kama ana homone imbalance na hiyo ndiyo inaweza sababisha mtu kubeba mimba even 4th -5th day of period. Though this is very rare..
Na ukiwa na homone imbalance Calendar ukitumia unaingia chaka kabisa kabisa ni vema kutumia njia zingine kupanga uzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho na hakita kuja wahi tokea kamwe na hakuna science kama iyo neva ever labda kwa uwezo utakao juu. Yai limeshakua disintegrated na limekua absorbed in uterus na ule ukuta wa mimba umemomonyoka utoke kwa ajili ya next cycle ya kumpokea mtoto atakayekuja afu mimba itokee wapi na wapi? Kwa yai lipi? Uyo mtoto atajiatach vp kwenye uterus akati lining ishabomoka.. nonsense!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa sijui watu walisomea wap? In shot week moja before period mwanamke hawezi kupata mimba. Mwanamke akiingiia period let say trh 1may, lazima trh 5may lazima atoke kama hana tatizo, then kuanzia trh 6-10 ni free days. Then kuanzia trh 11-17 ni Siku za mimba, awe na mzunguko wa 28 day or 30 day lazima kwenye hizo trh, spate mbimba, which means wiki ya pili baada ya period ndo ndo ovulation, yai likitoka linamaliza Siku mbili likisubiri kuwa fertilised, then fertilizations isipotake place linaharibika kwa ajili ya kujiandaa na next period.

There fore wiki ya 3 ana ya 4 huwa ni free day ambapo wiki ya NNE lazima aingie period.angalia comment yangu hapo juu nimehesabu Siku alizotoa mleta Mada hii mimba sio yake. Siku wanakutana ilibidi awe period.
 
Bro kama ulikuwa hujui Mademu Wengi wanatembea na Mimba Mfukoni anatafuta tu mtu wa kumuangushia Zigo.
Hapa utaona wanaomtetea wengi ni wanawake wenzake.
Mademu wengi hawana elimu yoyote ya ushkaji wa Mimba wanachojua ni kupanua miguu na kumwagiwa ndani.
Hii ni kiume zaidi usikubali Mimba kirahisi tingisha kwanza kibiriti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom