Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni
Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.
Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2
Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?
Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Alitumia uzoefu. Umemsadia kitaalam zaidi.Kama tarehe umezitaja sawasawa basi kijana wa kwanza alikutana naye siku ya 10 ambayo hakuwa na sababu ya kunywa P2 ilikuwa siku salama labda kama mzunguko wake wa period ni mdogo sana.
Na kijana B alikutana naye siku ya 14 siku ya yai kupevuka, siku hatarishi saa kwa wale wasiotaka mtoto. Hivyo mimba hiyo bila ubishi ni ya B.
Sijui kwanini hakunywa P2 au alimtegeshea huyu mtu
😅 Sawa mkuu ujumbe umefikaSio hajui mimba ni ya nani mwambie wew n Malaya na anaangalia upepo wa pesa upo wapi
Kiuchumi wote wapo vizuri hakuna muungajiInavyoonekana Kijana A ana uchumi mzuri Ila Kijana B anaunga
Kwanini nasema hivi
Wewe sio mara yako ya kwanza kutumia P2 bila Shaka unajua ufanisi wake katika kufanya Kazi
Sasa haiwezakani umeze P2 kwa Kijana A then utake kusema mimba (ujauzito) ni wa Kijana A badala ya B
Ni maoni tunayapokea tuuh😅 Sawa mkuu ujumbe umefika
Post imeletwa hapa ushauri utolewe hapaNipigie mkuu kwa namba 0689263270 nikushauri. wako Principle girl
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni
Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.
Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2
Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?
Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Mwambie apime na Hepatitis,HIV na VDRL
Hahahahahah khaaaMajibu sahihi..
let Kijana A = dronedrake
let Kijana B = mzabzab
Hapo by Default bila kutumia calculator wala formula, Muulizeni Kijana B
Hiyo ni mifano tu lakini nimesoma vizuri hicho kisa
Wanaogopa mimba kuliko ngomaAcha umalaya, huoni kinyaa kulombwa na wanaume tofauti kwa muda mfupi hvy?
Acha uongo,, mnaibiwa kila siku na hamjui.. ila mnavyo jinadi mnatufahamu 🤣Mshauri huyo rafiki yako aache umalaya, wanaume tunajua hii imetoka kutumika soon Au ina muda kiasi after use.
Hamna namna ya kutumia P2 bado upate mimba.Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni
Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.
Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2
Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?
Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Umalaya tu..😔Acha uongo,, mnaibiwa kila siku na hamjui.. ila mnavyo jinadi mnatufahamu 🤣